Hamna haja ya uharibifu wa mali,fujo na umwagikaji wa damu na hakuna mahala mama ataenda,sidhani wa bongo wako na ustahimilivu na kiki za kuandamana kama wa kenya.Dah, we jamaa unanichosha, wacha nikuache niendelee kufuatilia mambo ya maana, ya kutoa huyu muuaji.
Na nini haswa shida ya uongozi wa mama.