Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
Hakuna kitu kama hicho. Usiwatishe watu. Hakuna international organization itafanya chochote. Maisha yanaendelea na hakuna kitakachoendelea.Stay strong! Jirani... naona international bodies are closely watching... they just need enough evidence and cooperation from major players( U.N, A.U, E.U na the U.S)inorder to bite... measures such as sanctions will be put to place, the so called Mama will have no option but to bend!. We need this battle to continue(a healthy one) through this battle we get to learn alot from each other, both positively and negatively. The goal is the same, both of these Nations will and must prosper!...
Wamewekwa busy kufuatilia issues za Tanzania huku kwao kunaungua. Issue ya Tanzania ilishapita 10 days. Lakini vyombo vyao vya habari vimewakeep busy kwa trivial things. Stupid KenyansBloggers wa kunyaland inabidi tu sasa wavamie habari za nchi za jirani ili kupata engagement zaidi... Ni kwa sababu kunyaland imepitisha sheria ya matumizi ya Computer na cybercrimes . Wengi wamebanwa kende hapo na hiyo sheria mpya.
Na Sasa hivi kasongo na KRA wako busy kubadili income tax laws na ku adjust social security funds policy kuzidi kuwadidimiza hawa kunguni wa North. Badala waangalie mambo yao wako busy kufatilia mambo ya nje tuu...cs mbadi ameahidiwa kuwa vice bhas ni kupindisha tu sheria na kuweka tozoo...na uwanja wa ndege wameshaweka rehani huko Qatar.
Kunyaland ni hopeless creatures, they care about their neighbors business than their own.
Kuna mwenye ametuambia ni wakenya ndio walikuwa wanaandamana. Sijaona la Mkikuyu, Mjaluo, Mkisii, Mluhya, Mkalenjin ama Mkenya yeyote hapa.
I don't know why these people are trying to shift games.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1986747736843006360?t=8X76trEtaQIh3RvVWf5Qfw&s=19
Mpuuzeni huyo mpumbavuWewe wazimu,so sad wewe ni wazimu
Hata huyu Mtoto utaambiwa ni Mkenya mwenye alienda kuandamana Tanzania.
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1986688474062168103?t=rWXhOXrKBGF5kYmY3uEeIQ&s=19
Wakenya walimpiga risasi.Na huyu mwanahabari shupavu who was shot dead, kuna mpumbavu atasema ni onyango ama kamau kutoka kenya 🤬🤬... View attachment 3498613
"Wakenya walimpiga risasi."says Lunatic star...Wakenya walimpiga risasi.
Sahihi. There's no use arguing with a foolMkuu potezea. Muache ajifurahishe na dhahama iliotokea.
Sawa endelea kufurahia vifo vya watu. Wewe utaishi milele kama hao wenzako.Kila mtu anajua watu wamekufa. So tunache kujadili mambo mengine? Leo siku ya 10, tuache kujadili mambo mengine tuendelea kujadili suala hilo tu. Everyone will die. Ukifa unawaacha waliohai waendelee na mambo yao.
Stop pretending to be God and judge of everything.
Kila mtu anahisia zake. Kama wewe unataka kuwa na huzuni milele, ni wewe, wengine tunakuwa na huzuni siku chache na tunasonga na maisha mengine
Eboh!!!
Ubongo wake umefanyiwa mbogamboga factory reset mkuu 😁Still, sio sababu ya kufanya ufurahie vifo vya wenzako. Poor reasoning
Hayo yako. Mimi ninaendelea na yangu.Sawa endelea kufurahia vifo vya watu. Wewe utaishi milele kama hao wenzako.
Wa zenj hawapendi muungano kabisa na wanawachukia watanganyika kabisa.kwa hio wakipata nafasi ya kidhulumu watanganyika wanaikamatia sawa sawa.issue la vikosi kutoka uganda sujui kabisaNimepata habari that those who are doing the killings are mercenaries from zanziber and Uganda, is it true?... from the Many images nimeona most of those innocent souls were lined up and killed execution style. Sidhani kama hao ni police wa kawaida and they had no uniforms with masked faces.
Post yako ya 72 umeamua iwe ya kuchamba watu? KwikwikwikwikwikwiHuyu mama shetani na genge lake la wahuni wapelekwe ICC wakanyongwe,mara tu na patana na hizo video za watanganyika waliouliwa kinyama napandwa na hasira ajab.mara ya mwisho video kama hizo kusambaa mtandaoni ilikua ule wakati wa vita vya wahabeshi kule ethiopia (tigray vs ethiopia)
Huyo pumbavu hajui kutumia emojis, kila saa ni kwikwikwi kama mlango imeisha oil. 🤣 🤣 🤣Cheki sasa Kwikwikwikwikwi ndio nini, mambo ya kike kabisa 😂
Mimi ndiye niliyetengeneza hizo emojis.Huyo pumbavu hajui kutumia emojis, kila saa ni kwikwikwi kama mlango imeisha oil. 🤣 🤣 🤣
nairobae Toka KiberaHuyo pumbavu hajui kutumia emojis, kila saa ni kwikwikwi kama mlango imeisha oil. 🤣 🤣 🤣