President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Kaka ndio maana tupo kwenye uchunguzi na ripoti zitatolewa. Lakini za chini ya kapeti nasikia kulikuwa na kundi kubwa lilipata mafunzo somewhere waliua na kutesa watu. Waliingia na boda boda. Ukiangalia risasi zilizokuwa zinatumika ni za kuulia tembo.Mambo ya Kagame na HIMA empire tunayafahamu, swali kuu ni sababu ipi ilifanya watu waliojikalia makwao bila hata ya kuandamana kuuliwa kwa risasi za moto?
Kama hawa watu waliokwenda majumbani kuua watu randomly walitoka nje ya nchi, ni kwanini mitandao ilifungwa na kwa nini jeshi halikuingilia, kulinda wananchi?Kaka ndio maana tupo kwenye uchunguzi na ripoti zitatolewa. Lakini za chini ya kapeti nasikia kulikuwa na kundi kubwa lilipata mafunzo somewhere waliua na kutesa watu. Waliingia na boda boda. Ukiangalia risasi zilizokuwa zinatumika ni za kuulia tembo.
Tafakari kwanza kabla ya kutumia hisia
Hayo ni social questions siyo masuala ya kiusalama kaka. Subiri ripoti itolewe. Kuna wachunguzi wa kiusalama ndani na nje ya nchi wanaendelea na kazi yao.Kama hawa watu waliokwenda majumbani kuua watu randomly walitoka nje ya nchi, ni kwanini mitandao ilifungwa na kwa nini jeshi halikuingilia, kulinda wananchi?
Mtu akiiba nyaraka za siri kupitia mtandao utasema ni mambo ya social? Acha hizo brother.Hayo ni social questions siyo masuala ya kiusalama kaka.
Hii bado haijakaa sawa, justification ipi ilitumika kuua raia ambao hawakuwa wakiandamana?Subiri ripoti itolewe. Kuna wachunguzi wa kiusalama ndani na nje ya nchi wanaendelea na kazi yao.
Ukifuatilia comments za nyuma hapa utaona Capten Tesha aliuliziwa. Wewe una update zozote?Hivi kwanini hamtaki kumuongelea Captain Tesha na wenzake?
Kaka sijaelewa hili suala limekujaje hapa. Uliuliza kwanini mtandao ulizimwa. Nikakuambia issue ya mtandao kuzimwa ni social question linajibiwa kijamii. But hapa tunaongelea issue ya kiusalama watu kuuliwa hilo ndilo suala la msingi. Nimekuuliza kwanini wewe hutaki kuongelea Tishio la Captain Tesha?Mtu akiiba nyaraka za siri kupitia mtandao utasema ni mambo ya social? Acha hizo brother.
Hii bado haijakaa sawa, justification ipi ilitumika kuua raia ambao hawakuwa wakiandamana?
Kuna video mama mmoja alikuwa na watoto wachanga anaangalia TV, akavunjiwa mlango na wakammiminia risasi? Unaielezeaje hiyo?
Sasa, kama waliokuwa wakipiga risasi ni wauaji waliotoka nje, ilikuwaje serikali iache wageni waingie na kufanya mauaji kwa siku kadhaa bila ya response yoyote? Tuna nchi hapo?
Updates zipi kaka zitoke kwangu? Capten Tesha alikuwa ni mkufunzi wa Jeshi la anga ndicho ninachokijua mimi. Masuala ya kwamba yupo wapi na anafanya nini bado sijui. Captain anaweza akaongoza wanajeshi zaidi ya 150. Na watu 150 wanaweza kuingia kwenye mji na kufanya matukio ya kutisha.Ukifuatilia comments za nyuma hapa utaona Capten Tesha aliuliziwa. Wewe una update zozote?
Even though I hate this woman from the bottom of my heart, but hii ni fake news
Hivi ukiacha hizi za Magufuli, Samia ameanzisha megaprojects ngapi tangu ameingia madarakani. Maana nina muda sijasikia miradi mipya mikubwa, natamani kujuaKaka sijaelewa hili suala limekujaje hapa. Uliuliza kwanini mtandao ulizimwa. Nikakuambia issue ya mtandao kuzimwa ni social question linajibiwa kijamii. But hapa tunaongelea issue ya kiusalama watu kuuliwa hilo ndilo suala la msingi. Nimekuuliza kwanini wewe hutaki kuongelea Tishio la Captain Tesha?
Sasa kaka unataka vyombo vya kiusalama vianze kuchat kwenye social media kueleza kipi kilitokea kabla ya uchunguzi?
Nani amekuambia walikuwa wanapiga risasi wametoka nje? Kaka naomba usinilishe maneno, mimi nimekuomba kuwa ripoti bado haijatoka ikitoka tutajua mbivu na mbichi.
Updates zipi kaka zitoke kwangu? Capten Tesha alikuwa ni mkufunzi wa Jeshi la anga ndicho ninachokijua mimi. Masuala ya kwamba yupo wapi na anafanya nini bado sijui. Captain anaweza akaongoza wanajeshi zaidi ya 150. Na watu 150 wanaweza kuingia kwenye mji na kufanya matukio ya kutisha.
So suala la kuhusu Tesha nimeliacha kwako ili uweze kuwaza zaidi.
Out of contextHivi ukiacha hizi za Magufuli, Samia ameanzisha megaprojects ngapi tangu ameingia madarakani. Maana nina muda sijasikia miradi mipya mikubwa, natamani kujua
Yeah it is out of context but I want to know and there's nothing wrong with that. Nimeona nikuulize wewe maana naona unamfuatilia sana Samia, sio kwa ubayaOut of context
Kuna watu sijui wana matatizo gani these days, like fyuzi zinafyatuka even if wana all datas.According to this guy, Kenyans are celebrating Tanzania's violence.🤦🏾♂️🤦🏾♂️
View: https://youtu.be/B6qbKcerrdo?si=9Gn0DuzZ__cAQV00
Look at this idiot damn.The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed
Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan planned for many years by Mr. PAKA. This guy tried to influence Uhuru and they formed COW with Museven, Tanzanian Intelligence explained the whole plan to Uhuru Kenyatta, COW died. This guy formed the M24 group to extract wealth from the DRC while Belgium and Germany helped him for the benefit of those countries.
Many Kenyans are blind, they are on the internet to create content to defame Tanzania while dancing to a dance they don’t know.
The Russian Intelligence Service told Tanzania (TISS) about the plan that the guy had planned for this year’s elections. Tanzania arrested Tundu Lissu and charged him with treason in order to expose the perpetrators of the plan.
The European Parliament passed a resolution so that Tanzania could release Tundu Lisu. The world saw who initiated the motion. Most of the MPs were from Germany.
Many Kenyans bark like dogs on social media. But Intelligence does not work in that way.
Germany is very hurt by the defeat in the second world war. The UK is on the side of Tanzania and they know all the tricks. The USA will not be able to interfere in anything that happened in Tanzania because they know those Germans and this guy from the landlocked. The USA forced them to sign a peace agreement with the DRC after being cornered by Tanzanian forces in Eastern Congo.
Your choice, Kenyans, is clear: either agree to side with Tanzania or cooperate with those who continue colonialism.
Nimesema hivyo kwasababu mtandao unahusika sana katika mambo ya usalama zaidi ya social, kama mntandao unazimwa halafu kunatokea mauaji ya kutisha, wananchi inabidi wajue sababu hasa ya kuzima ilikuwa ni ipi?Kaka sijaelewa hili suala limekujaje hapa. Uliuliza kwanini mtandao ulizimwa. Nikakuambia issue ya mtandao kuzimwa ni social question linajibiwa kijamii. But hapa tunaongelea issue ya kiusalama watu kuuliwa hilo ndilo suala la msingi.
Nitaongeleaje kitu nisichokijuwa, huyo capteni nilimuona kwenye mitandao. Kwa kuwa wewe unamuulizia sana, labda unafahamu zaidi, tuambie basi yeye ni nani?Nimekuuliza kwanini wewe hutaki kuongelea Tishio la Captain Tesha?
Haina haja ya kuongelea mambo ya usalama ila swali langu ni kutaka kujua uhalali wa kuua watu majumbani mwao hovyo, hao wamama na watoto, wanatishia usalama wa nani?Sasa kaka unataka vyombo vya kiusalama vianze kuchat kwenye social media kueleza kipi kilitokea kabla ya uchunguzi?
Kuna video, watu wako nyumbani, mwingine yuko workshop ya useremala anapigwa shaba, what was that?Nani amekuambia walikuwa wanapiga risasi wametoka nje? Kaka naomba usinilishe maneno, mimi nimekuomba kuwa ripoti bado haijatoka ikitoka tutajua mbivu na mbichi.
Suala la tesha ni wewe ndiyo ulilileta, nikasema tuu kuna watu walimuulizia hapa majuzi ila nijibu, mimi sifahamu.Updates zipi kaka zitoke kwangu? Capten Tesha alikuwa ni mkufunzi wa Jeshi la anga ndicho ninachokijua mimi. Masuala ya kwamba yupo wapi na anafanya nini bado sijui. Captain anaweza akaongoza wanajeshi zaidi ya 150. Na watu 150 wanaweza kuingia kwenye mji na kufanya matukio ya kutisha.
So suala la kuhusu Tesha nimeliacha kwako ili uweze kuwaza zaidi.
I think Bro leave the idiots alone, imagine linaingia hapa day one bila masikitiko bali denial, delusional na liko simplified as if kilichotokea nchini hapa ni kitu cha kawaida, it's madness kufikiri hivyo.Nimesema hivyo kwasababu mtandao unahusika sana katika mambo ya usalama zaidi ya social, kama mntandao unazimwa halafu kunatokea mauaji ya kutisha, wananchi inabidi wajue sababu hasa ya kuzima ilikuwa ni ipi?
Nitaongeleaje kitu nisichokijuwa, huyo capteni nilimuona kwenye mitandao. Kwa kuwa wewe unamuulizia sana, labda unafahamu zaidi, tuambie basi yeye ni nani?
Haina haja ya kuongelea mambo ya usalama ila swali langu ni kutaka kujua uhalali wa kuua watu majumbani mwao hovyo, hao wamama na watoto, wanatishia usalama wa nani?
Kuna video, watu wako nyumbani, mwingine yuko workshop ya useremala anapigwa shaba, waht is that?
Suala la tesha ni wewe ndiyo ulilileta, nikasema tuu kuna watu walimuulizia nikasema mimi sijui.
Maswali yangu ya uhalali wa kuua mpaka watoto wadogo bado nangojea majibu.