Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nilifikiri unauwezo wa kiakili wa kutazama nje ya BOX.
Look kinachoendelea Tanzania ni machafuko ya kisiasa sawa na kwenye hali kama hii kuna possibilities nyingi.

Moja:
Vyama vya siasa vya upinzani hasa Chadema ndio wenye historia ya kufanya hivi kuhire groups za thugs na huua rais hovyo kama njia ya kuiweka CCM kwenye wakati mgumu na kuchukiwa na umma na kupata international condemnation na mengineyo. So kuna mengi nyuma ya pazia yanayo tokea na kuendelea, uki oversimplify mambo utakuwa mjinga.

Mbili:
Polisi na jeshi hawadeal na watu wako passive. Kikundi kinacho rusha silaha wako na nguo za kiraia na wengine utawaona kwenye clipwakiwa kwenye Toyota Landcruizer nyeupe.
It’s fascinating how you often dismiss such complexities when the discussion involves Kenya — your conclusion is always that Kenya’s forces are poorly trained, hence their inability to handle riots effectively. This is despite the fact that Kenyans are more aggressive rioters than Tanzanians. Leo hii mshaajua the kind of complexities that come with quelling riots?
 
Is that a lie, hakuna yeyote aliyesoma kwa kodi zetu huko kwenu?
Bro, I know Judge Mutunga went to the University of Dar es Salaam — you never miss a single opportunity to slip that reminder in, as if we could ever forget. He wasn't educated on your taxes, he paid to be educated there. Raila on the other hand used Tanzanian passport to go to Germany because at that time, his father (Oginga Odinga) was at loggerheads with Kenyatta Snr. Same way some of your CHADEMA politicians such as Tundu Lissu use Kenyan passports, come to Kenyan hospitals and have families living in Kenya. That's how politics works. That has absolutely nothing to do with the strength or competence of your army. You have a habit of steering conversations into needless tangents. Nyinyi watu mnapenda sifa za upuzi sana.
 
Internet imezimwa mazima na text haziendi Tanzania kwa siku kadhaa sasa.
As I earlier said, baada ya kuapishwa mafichoni na tarajia Mama atatupa taoulo ulingoni na kujiuzuru, Sioni akiendelea kuongoza nchiya Tanzania to 2030 else Usalama itabidi wamassassinate.

Atapata stroke aatakaa hospital then tutatangaziwa. Its up to her.
Sidhani kuna uhalisia wa yeye kujiuzulu, huyu ameamua. Viongozi wote wa juu kawaweka mfukoni, the only hope hapa ni kichaa mmoja mwenye 'access' atakayeamua kujitoa sadaka.
 
It’s fascinating how you often dismiss such complexities when the discussion involves Kenya — your conclusion is always that Kenya’s forces are poorly trained, hence their inability to handle riots effectively. This is despite the fact that Kenyans are more aggressive rioters than Tanzanians. Leo hii mshaajua the kind of complexities that come with quelling riots?
Angalia "Vurugu za Mwembechai" Dar es salaam miaka ya 1995
There were riots in Zanzibar ila pia unaweza angalia how riots are well handled.
 
We are talking about THIS riots. Why go to 1995 when some of us were still in nursery when we can analyse using something that is as current as today?
 
Bro, I know Judge Mutunga went to the University of Dar es Salaam — you never miss a single opportunity to slip that reminder in, as if we could ever forget. He wasn't educated on your taxes, he paid to be educated there. Raila on the other hand used Tanzanian passport to go to Germany because at that time, his father (Oginga Odinga) was at loggerheads with Kenyatta Snr. Same way some of your CHADEMA politicians such as Tundu Lissu use Kenyan passports, come to Kenyan hospitals and have families living in Kenya. That's how politics works. That has absolutely nothing to do with the strength or competence of your army. You have a habit of steering conversations into needless tangents. Nyinyi watu mnapenda sifa za upuzi sana.
Wewe unakichaa.
Hakuna Mtu aliyesoma miaka ya 1960s to 1990s aliyelipa fees,awe Mtanzania or mtu kutoka nje. Ilikuwa buree kwa wote na pesa za nauli kwenda na kurudi shule wakati wa likizo zilikuwa zikitolewa na serikali kwa wanafunzi wote bila kujali uraia na hakuna mzazi wa Kitanzania alikuwa akitoa cent moja. Tulipata madafrari, pen, pencils, vitabu, uniforms bure.
 
Tupe ushahidi lLisu alitumia passport ya Kenya. Lisu's kids are American citizens. Familia ipi unaongelea?
 
Wewe ndio kichaa, we no longer live in an era where such blatant lies can pass unchallenged.
Screenshot 2025-11-02 230329.png
 
Rushe shule ukadai fees yako. Ni clear umepoteza pesa za bure. Tanzania haikupeleka jeshi DRC bali some few battalions. Sasa ni mjinga tu anaweza ongea kama wewe kwakua kila jeshi kama ulivyo mpira wa miguu, wanaweza peleka U17 uwanjani kucheza na Djibuti kupata experience same ilivyo kwenye vikosi vya kwenda kwenye kulinda amani ama vita na majeshi ya hovyo kama M23.
Sawa Comrade Mapepo
 
Sidhani kuna uhalisia wa yeye kujiuzulu, huyu ameamua. Viongozi wote wa juu kawaweka mfukoni, the only hope hapa ni kichaa mmoja mwenye 'access' atakayeamua kujitoa sadaka.
Sio viongozi wote ni vile katiba yetu ilivyo na uhalisia kuwa Tanzania ni nchi ya chama kimoja na muundo wa Jeshi letu hakuna kikosi kinaweza pindua nchi wala mkuu yeyote wa Majeshi mwenye uwezo huo bila coordination na wakuu wengine na wote wana kadi za CCM na loyal kwa mwenyekiti wa chama.

Nchi imeingia kwenye vyama vingi lakini katiba ni ile ile ya chama kimoja na hakuna upinzania utashika nchi kwa katiba hii wala kutokea mapinduzi ya kijeshi kwakua huko nyuma yalikuwa mengi sana wakati wa ukombozi na jaribio la mwisho 1982 waliupdate mfumo so mapinduzi ya kijeshi hayawezekani kabisa na mama hawezi ongoza hii nchi to 2030 atauawa na usalama, nafikiri hata yeye anajua hilo.

Tutamzika soon asipojiuzuru.
 
Tupe ushahidi lLisu alitumia passport ya Kenya. Lisu's kids are American citizens. Familia ipi unaongelea?
Lissu's children live in Belgium, not USA. They stayed in Kenya before they migrated to Belgium. We Kenyans are not of the habbit of keeping every receipt of the smallest help we give to people, that's why you probably don't know about Lissu using a Kenyan passport. If it was a Kenyan politician who had used a Tanzanian passport, we would never hear the end of it. Anyway, Tundu Lissu used the Kenyan passport in 2017 when Tanzanian officials refused to renew his passport.

Screenshot 2025-11-02 231112.png
 
View attachment 3496611
This guy!
Sentensi ipi nimesema watoto wake wanaishi wapi? Nimekwambia watoto wote wa Lisu ni rais wa Marekani wapi wanaishi wala sina mpango wa kujua, ni publicly acknowledged na yeye ameongea hili hadharani mara nyingi.

Lissu hajatumia passport ya Kenya na huna ushahi wa hili.
 
Hata nyinyi wakenya hamko salama na watutsi, umekuwa mkimsikia mtoto wa Museveni akiitishia Kenya. Nilishawaambia, anamaanisha huyo, hayo ni maneno wanayoongea kwenye dining table.
Mimi nadhani kosa kubwa lilifanyika 2005, maana ukiangalia historia kabla ya hapo TZ tulikua level nyingine kabisa kidiplomasia tuliheshimika sana,kuanzia mzee wa kucheka cheka hadi sasa nchi imekua ya ovyo
 
This guy!
Sentensi ipi nimesema watoto wake wanaishi wapi? Nimekwambia watoto wote wa Lisu ni rais wa Marekani wapi wanaishi wala sina mpango wa kujua, ni publicly acknowledged na yeye ameongea hili hadharani mara nyingi.

Lissu hajatumia passport ya Kenya na huna ushahi wa hili.
Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu.
I clearly said Lissu’s family lived in Kenya, yet you shot back with “which family?” and went on to claim his children are American citizens — essentially implying they live in the U.S. As I mentioned, you have a knack for dragging conversations into needless detours.
Unataka ushahidi upi kando na huo niliouweka? Ama unataka nipige picha ya Passport ya Lissu nipost?
 
Back
Top Bottom