NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
What is "Kuleni lakini msivimbiwu"?Kama umesikiliza hotuba zake ama anayoongea tokea zamani utajua ni mmoja ya Wanzazibari wenye chuki dhidi ya Bara na ile kauli "Kuleni lakini msivimbiwu" haikuwa bahati mbaya na hana abari na hilo wala kudeal na corruption. Yeye ni kama analipiza kisasi or kwenye mission ya kuhaiharibu kabisa bara.
Kikwete alitukosea sana na genge lake.
Hawa tuwazibiti kikatiba ila ni mwiko Mzanzibari kuwa Rais Tanzania tena.