2005, hayakuwa makosa, hiyo ilipangwa na mtandao.
Nyerere walimuondoa 1999 ili kusiwe na kidomo domo, Dr. Omar Ali Juma, mrithi wa Mkapa wakamuondoa 2001, Dr Salim wakamfix 2005 kwa kutumia propaganda, and the rest is history.
Magufuli alikuja from nowhere,wakadhani atakuwa mmoja wao, ila wakalazimisha kuwa na backup, in case Magu angezingua, alipowakaidi wakamuondoa.
Sasa unaona wamelazimisha Samia aendelee, kwa hali na damu. Utaona hapa ishu siyo urais bali kuna watu wanavuta strings, hasa ukizingatia dunia ya sasa ambayo ipo kwenye sitonfahamu,
Tanzania ilikuwa inatamaniwa sana, linchi kubwa lina kila kitu, ila ilikuwa haiingiliki, ila sasa tumepatikana. Nasikia Sudan wamekufa 5K ndani ya wiki moja, sisi inawezekana tumepita hiyo namba katika siku mbili.