Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LIGHTS OF AFRICA

When fully complete in 2030, the SKA will be bolstered by 3,000 satellite dishes spread throughout South Africa, with outstations in Botswana, Ghana, Kenya, Madagascar, Mauritius, Mozambique, Namibia and Zambia. Combined, the SKA will enable scientists around the world to probe the far reaches of space to a point before stars even lit up the sky. “You could say this is the biggest mega-science project ever,” says Dr. Francois Luus, a Research Scientist at IBM Research

Big Bang Meets Big Data | CNN Advertisement Feature

a1-research-lab.jpg
2030 bonge la forecast
 
Yaani wewe mbuzi ya kike kweli,umesahau westgate kdf walifanyiwa mchezo gani na wale vibaka wa kisomali???

Wahuni watano tu,jeshi zima la kenya na vifaru wanavizia kuiba mikufu na saa ktk mall.
walikua watatu tu nchi nzima ilismamia kucha siku tatu😀😀😀😀😀😀
 
Yaani wewe mbuzi ya kike kweli,umesahau westgate kdf walifanyiwa mchezo gani na wale vibaka wa kisomali???

Wahuni watano tu,jeshi zima la kenya na vifaru wanavizia kuiba mikufu na saa ktk mall.
Mbuzi wa kike ni babako....alshabab wana silaha DRC walitumia mapanga Ku murder polisi wenu
 
Kuna siku Dar es salaam magaidi walivamia police station na kutoeka na silaha.

Pia kuna siku State House ilivamiwa na wezi walioiba kuku.

Hata ni maneno Bongolalas hujaribu kuficha lakini hapa tunawaumbuua bila kuchelewa.
 
Leta picha au video.
 
EB0AD0F7-D0B6-4E7C-9C61-B83487E16EB6.jpeg
 
Back
Top Bottom