Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kikuyu Affordable housing renders

1000100495.jpg

Progress
1000100496.jpg
 
Yes it is.
That area gonna look dope when both projects are done . Watch how everything around get modernized to keep up with the market. That’s how Kenya moves . You build a kibanda , you attract other kibandas . You build a mansion, you attract copycats…Kenya is the best example of a free market economy 😆
 
Ni jini hili.
Kama umesikiliza hotuba zake ama anayoongea tokea zamani utajua ni mmoja ya Wanzazibari wenye chuki dhidi ya Bara na ile kauli "Kuleni lakini msivimbiwu" haikuwa bahati mbaya na hana abari na hilo wala kudeal na corruption. Yeye ni kama analipiza kisasi or kwenye mission ya kuhaiharibu kabisa bara.

Kikwete alitukosea sana na genge lake.
Hawa tuwazibiti kikatiba ila ni mwiko Mzanzibari kuwa Rais Tanzania tena.
 
Huwa sisikilizi wala kuangalia clip zake, huwa ananipa vibe mbaya.
Kikwete alitukosea sana na genge lake.
Hawa tuwazibiti kikatiba ila ni mwiko Mzanzibari kuwa Rais Tanzania tena.
Yaani namshangaa sana huyu mkwere, haoni kama Samia anaichukia Tanganyika? Kinachotisha, Museveni na Kagame, wanaweza tumia chance hii kutuvamia.
 
Yaani namshangaa sana huyu mkwere, haoni kama Samia anaichukia Tanganyika? Kinachotisha, Museveni na Kagame, wanaweza tumia chance hii kutuvamia.
I agree — Museveni and Kagame are political vultures of the highest order. They fancy themselves as Africa’s strongest leaders, yet remain confined to two of the continent’s smallest nations. The thought of carving out a portion of Tanzania’s vast expanse for their own ambitions would no doubt strike them as an enticing prospect.
 
Back
Top Bottom