Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi West

Image
 
Hizi ni gas za Rostam Azizi, fisadi na sio maduka na vyakula kama njaa zenu. Watu wanadeal na mafisadi na bisghara zao tu na sio kama vyovyio njaa kali.
Nyef nyef as if hizo gesi wanaenda kuzipuliza kama siyo kupika nayo vyakula
 
"Haitafanana na render, mark my words." Alisikika Mchawi moja toka Vumbistan akajisemea.

Imebaki Tu sasa kuweka hile "Mende" yetu.

View attachment 3496354
Huyu kilaza wa "mark my words" watchman thebest007 hajaonekana huku almost one week now. Yani jamaa haamini kabisa yanayoendelea nchini mwake 😂😂😂😂

Yeye na mwarabu Ichoboy sijui watatoa wapi nguvu ya kurudi huku. It has hit them hard!
 
The same CHADEMA even "speculated" about Magufuli's death but were later vindicated
Tatizo mna uelewa mdogo sana wa Tanzania.
Chadema walikuwa wanalishwa info na kundi la Kikwete ambalo klilikuwa likitoa info kwa Chadema na Kigogo na siri zile zote zilikuwa zikivujishwa na Samia. Wakati tunayasema haya hapa kwenye huu uzi ulikua hufuatili.
Ndio maana mara baada tu ya huyu maza kuchukua Kigogo rasmi akafa na hapati tena info.
Kama Chadema wanapata info mbona hawakujua mwenyekiti wao angetiwa ndani hadi leo?
 
Nyef nyef as if hizo gesi wanaenda kuzipuliza kama siyo kupika nayo vyakula
Whatever the case, ila ndio uhalisia huo. Huwezi ona watu wamevunja dukala simu wanaiba ama duka la viatu. Ni pande za Mafisadi na machawa kama Diamond, Shishi Food mgahawa wake wametia kibiriti na wengine wengi. Huko Mwanza machawa baa zao zimetiwa moto sio wameenda kuiba bia.
 
Tatizo mna uelewa mdogo sana wa Tanzania.
Chadema walikuwa wanalishwa info na kundi la Kikwete ambalo klilikuwa likitoa info kwa Chadema na Kigogo na siri zile zote zilikuwa zikivujishwa na Samia. Wakati tunayasema haya hapa kwenye huu uzi ulikua hufuatili.
Ndio maana mara baada tu ya huyu maza kuchukua Kigogo rasmi akafa na hapati tena info.
Kama Chadema wanapata info mbona hawakujua mwenyekiti wao angetiwa ndani hadi leo?
Tundu Lissu kutiwa ndani hadi saa hii has nothing to do with CHADEMA being unable to receive intel. It's about dictatorial rule.
 
Back
Top Bottom