ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
vp uko poa 😂😂😂😂Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
vp uko poa 😂😂😂😂Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
population tanzania ni 63 na kenya ni 58 wala usiwadanganye watu hapa😂😂Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
Who is Visual Capitalist? Ama siku hizi kila takataka unaokota?vp uko poa 😂😂😂😂
View attachment 3486344
You mean kama hii?I can show a 20 minutes video of that 660 sqm Nairobi, full of dirty, slums and urine
yani kwa hali tulionayo sasa hvi ni hatari sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻Leo nimemkumbuka sana JPM
View attachment 3486271
Hiyo ni Tanzania ya Yemen ama? Last year your population was 69M. This year most probably ni 73M.population tanzania ni 63 na kenya ni 58 wala usiwadanganye watu hapa😂😂
Eldoret is Kenya's fifth biggest town. How you expect it not to have the need for such roads just because your similar towns don't have the same is beyond comprehension. Shugulikeni na maendeleo yenu. Wacheni tujenge barabara zetu. Aliyawazuia kujenga za kwenu ni nani?Nyie ni watuy wajinga sana.
Miradi yenu mingi ni ya kiupigaji na ajabu mnashangilia ujinga.
Hakukua na sababu ya interchange ya aina hii hapo.
So unataka kusema 70% of urbanised areas in Tanzania ni slums? Hivi apart from Mbeya and some parts of Dar sehemu gani nyingine ya Tanzania iko na slums?Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
Everywhere in Tanzania is slums.So unataka kusema 70% of urbanised areas in Tanzania ni slums? Hivi apart from Mbeya and some parts of Dar sehemu gani nyingine ya Tanzania iko na slums?
As far as I know tunazo informal settlements lakini slums Tanzania ni chache sana, almost negligible
Dah mpaka natamani Moderator na Maxence Melo waturudishie ile emoji ya 🤣 ili nicheke vizuri. Hii ya sasa (😁) naona hata nikicheka siridhiki. Naona kama sijacheka ipasavyovp uko poa 😂😂😂😂
View attachment 3486344
Mbona hata wewe unaokota takataka yako inayokuambia kuwa 70% of urban areas in Tz ni slumsWho is Visual Capitalist? Ama siku hizi kila takataka unaokota?
Yani kwa Tz hii ndio slum, ila ukienda Kenya watu wanakaa sehemu zinafanana na makazi ya nguruwe 😂😂😄You mean kama hii?
View attachment 3486345
Sasa hiyo ni part ndogo sana ya Mwanza. More than 97% ya Mwanza sio slums kijana unajisumbua tu kuhangaika na Google 😂😂
World Bank tangu lini ikawa takataka? World bank data inatambulika kila mahali na hata serikali yenu inatambua data zao.Mbona hata wewe unaokota takataka yako inayokuambia kuwa 70% of urban areas in Tz ni slums
Sasa wewe ndio fundi baiskeli. Sometimes unasema 70% of Tanzanians, baadae unasema 70% of Tanzanians living in urban areasWorld Bank tangu lini ikawa takataka? World bank data inatambulika kila mahali na hata serikali yenu inatambua data zao.
For 70% of Tanzanians living in slums, hata UN habitat wanasema hivo.
70% of Tanzanians live in slums.Sasa hiyo ni part ndogo sana ya Mwanza. More than 97% ya Mwanza sio slums kijana unajisumbua tu kuhangaika na Google 😂😂