Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya mna project nyingi zaidi za Affordable Housing kwa sababu wengi wenu mnaishi kwenye slums, so you need more projects like this than we do
That's what your bicycle repair brain told you?

Let's see which country has more people living in slums.

1000052292.jpg
 
Nilijua tu utakuja na hizi fake data 😂😂
Sasa nikuulize wewe, what's the percent of Tanzanians living in urban areas? Tafuta jibu halafu ndio uone vile ulivyo fala
Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
 
Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
population tanzania ni 63 na kenya ni 58 wala usiwadanganye watu hapa😂😂
 
Nyie ni watuy wajinga sana.
Miradi yenu mingi ni ya kiupigaji na ajabu mnashangilia ujinga.

Hakukua na sababu ya interchange ya aina hii hapo.
Eldoret is Kenya's fifth biggest town. How you expect it not to have the need for such roads just because your similar towns don't have the same is beyond comprehension. Shugulikeni na maendeleo yenu. Wacheni tujenge barabara zetu. Aliyawazuia kujenga za kwenu ni nani?
 
Urbanisation in Tanzania is 39% ya Kenya is 23%. Now calculate 70% of 39% of 70M Tanzanians Vs 40% of 23% of 53M Kenyans alafu utuambie answer yako ni nini.
So unataka kusema 70% of urbanised areas in Tanzania ni slums? Hivi apart from Mbeya and some parts of Dar sehemu gani nyingine ya Tanzania iko na slums?

As far as I know tunazo informal settlements lakini slums Tanzania ni chache sana, almost negligible
 
Everywhere in Tanzania is slums.

This is Mwanza your second city.

1000083472.jpg
 
Back
Top Bottom