Kila sehemu ni takataka na slums,kunyan wachafu sana!ng'ombe wanatafuta rizki zao ndani ya jiji la singapore ya africa ππππ»ππ»ππ»
View attachment 3485959
Why should we listen to people coming from a country with only 3 interchanges nchi mzima?Nyie ni watuy wajinga sana.
Miradi yenu mingi ni ya kiupigaji na ajabu mnashangilia ujinga.
Hakukua na sababu ya interchange ya aina hii hapo.
Ila Wakenya bhana, hii village ndo mnafananisha na Dar. Mbona Nairobi iko hyped sana jamani
View: https://vm.tiktok.com/ZMA9tAvp5/
Hela ya interchange mahala pasipo na hata msongamano wa magari ungeleta tafauti kubwa sana kama ingetumika ipasavyo.Why should we listen to people coming from a country with only 3 interchanges nchi mzima?
Siku mtajenga interchange outside Dar mkuje tuongee.
Hela ya interchange mahala pasipo na hata msongamano wa magari ungeleta tafauti kubwa sana kama ingetumika ipasavyo.
View: https://x.com/KenyanSays/status/1975399011906691422
View: https://x.com/Alfayaz11/status/1976177352603467870
Juu Kenya iko na affordable housing so all over sudden Tanzania pia iko na affordable housing?NHC wanaendelea ujenzi, wameanzisha mradi mwingine wa Affordable Housing pia, Dodoma.
View attachment 3486239View attachment 3486240View attachment 3486241View attachment 3486242View attachment 3486243View attachment 3486244View attachment 3486243View attachment 3486245View attachment 3486246
Kenya mna project nyingi zaidi za Affordable Housing kwa sababu wengi wenu mnaishi kwenye slums, so you need more projects like this than we doJuu Kenya iko na affordable housing so all over sudden Tanzania pia iko na affordable housing?
Legend wa Africa, alikuwa Mzalendo sana. Kamwe sitamsahau MagufuliLeo nimemkumbuka sana JPM
View attachment 3486271