Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipo siku mtakuja kurekebisha makosa yenu.
Hata Nairobi, mtakuja kushtuka mshachelewa
View attachment 3485231
Ipo siku mtakuja kurekebisha makosa yenu.
Hata Nairobi, mtakuja kushtuka mshachelewa

And the same person was celebrating night and day when they constructed this a few years ago.
sddefault (10).jpg


What a bunch of hypocrites!!
 
Mbona unaumwa na maendeleo ya watu wengine? Kwani hela ni zako? Si Kila siku mnasema hapa Kenya hakuna miradi ya maendeleo inaendelea? Kwamba kazi yetu ni kupost magorofa? Sasa tukipost miradi zetu tena mnakerwa! Hivi, nyinyi ni watu sampuli gani hii?
Chill, ni maoni huru tuu, sijatukana wala kubeza.
 
hio ni picha wametumia lakini ni picha ya zamani sana hio mzee na kitu hujui ni kua kun cnstruction ya bridge kubwa sana hapo inaendelea na hio ni floods inayosababishwa na river sio barabara
Hii insha unaandika hapa ni ya nini sasa? Just prove that the date indicated there is not correct
 
Back
Top Bottom