ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Arusha tukiweka Expressway na kisha tukajenga maghorofa 10 marefu panakuwa kama Nairobi tuUtitiri wa slums na vijengo vya kuokoteza 😂😂
Sawa fundi wa baiskeli 😂😂
Halafu atakuja hapa fundi wa baiskeli... Oops sorry, "Teargas", ataanza kusema Nairobi ni Singapore ya Africa na sehemu ipo hivi, hizi barabara hata ng'ombe hawezi kubali kupita 😂😂
Sawa mziba puncher.Cry harder fundi baiskeli 😂😂