Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 Bro, kusema Nairobi nyumba ni self-contained ni kama kusema Kibera ni well-planned—ni uongo mtupu. UN-Habitat wenyewe wanasema zaidi ya 60% ya Wakenya wanaishi kwenye informal settlements kama Kibera, Mukuru, na Mathare—hizo si nyumba, ni human parking lots.


Wakenya mnapenda kupretend kama nchi yenu ndio nzuri sana hapa East Africa kumbe la hasha. Ukweli ni tofauti kabisa, nchi yenu ni masikini tu kama zilivyo nchi nyingine za Africa, and there's nothing special in Kenya. Watu wenu wanaishi maisha magumu, watu wana njaa Kenya, watu wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe. Nchi yenu ina kila aina ya dhiki, yani ni GDP ndio inawabeba ila nyinyi ni masikini kuliko hata Uganda. Ila basi tu mna kamdomo 😂😂😂
 
Fundi wa Baiskeli atakuambia ati hii building to rise another building had to be demolished 😂😂😂

Westlands.

Nairobi has some of the most environment friendly buildings in Africa.
View attachment 3478981
Unavyopost majengo ya wazungu, kumbuka Nairobi halisi wanayoishi Wakenya ilivyo 😂😂😂
Kamji kachafu kama nini. No wonder mnachunga ng'ombe hadi CBD 😂😂😂
 
Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
 
Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
But according to World only 40% of Kenyans live slums while 70% of Tanzanians also live in slums.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…