tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kenya Ni Kenya hamjafika popote ur just nobody jiheshimuDemocracy in Kenya allows me to call a spade a spade
Kenya Ni Kenya hamjafika popote ur just nobody jiheshimuDemocracy in Kenya allows me to call a spade a spade
This guy is very stupid assume himHave you any idea that you always write lots of bullshit?
hio ndio kazi unayoifanya hapo nyumbani au nikuulize, misuri hutokea na wapi hapa kwenye kipakatalishi changu?Mimi ninarusha misumari ya moto, utakayemuingia lazima atasikia mauvi, kwasababu ni maumivu makali, lazima atapiga kelele![]()
![]()
Haha feelings pelekea bibiKenya Ni Kenya hamjafika popote ur just nobody jiheshimu
Niaje Suusan?Kenya Ni Kenya hamjafika popote ur just nobody jiheshimu
Eat that...Haha feelings pelekea bibi
Eat what???Eat that...
leta hoja
sasa tanzania haijachukua mkopo kwa mchina wala mama yake imetoa pesa zake cash kwa phase mbili 3.16 billion usd kwa ajili ya 722 km na mturuki kakubali kutoa soft loan yenye interest ndogo sana kwa phase 3 and 4 takriban 400km😀😀😀😀Sijasema sisi tuko na pesa. No. But pesa inapatikana kwa mkopo na Mchina pekee ndiye anayeweza toa mkopo lakini kwa MASHARTI.
hahahah mikopo ipo ya aina nyingi sana hata mturuki anaeza wapa mkopo rwanda na uganda na wakatumia sgr ya tanzania so usiwe na akili za kukuWorld Bank ilijitoa kitambo sana tena sana. Mchina peke yake ndiye anayeweza toa mkopo lakin sharti yake ni lazima Uganda na Rwanda watumie line ya Kenya.
yap nakumbuka bansi sawa kabisa na kuna ile hotel inaitwa zamzam ya wasomali bado ipo maeneo ya stage?? aise siku nyingi sana, asanteThat must be Bansi supermarket. Nowadays ziko mbili, a bigger and better one opposite posta along the kisii-migori highway. Mombasa hotel bado iko though it's been a while since niende kule. Migori siku hizi there are big hotels, some having swimming pools, especially autdide the town center.Karibu siku tena siku ingine tusalimiane japo tunataniana huku jf
Sawasawa sikatai kuhusu tanzania kwani anajenga kwake. But poor ldc countries like Uganda and Rwanda hawana ubavu huo hata kujaribu tu. Lazma wategemee mkopo lakini mkopo wenyewe ni Mchina ndiye anayefadhili na lazma atakaye mkopo mpaka afuate masharti yake ambapo Lazima atumie line ya Kenya na Kenya ndio guarantor wa huo mkopo. Hope umenielewasasa tanzania haijachukua mkopo kwa mchina wala mama yake imetoa pesa zake cash kwa phase mbili 3.16 billion usd kwa ajili ya 722 km na mturuki kakubali kutoa soft loan yenye interest ndogo sana kwa phase 3 and 4 takriban 400km😀😀😀😀
kwa rwanda toa kabisa kwenye mawazo yako labda uniambie uganda na still bado uganda anaangalia better way to choose so na mpaka sasa munamtegemea sana uganda inamaana uganda akikataa tu ujue sgr inageuka kua white elephantSawasawa sikatai kuhusu tanzania kwani anajenga kwake. But poor ldc countries like Uganda and Rwanda hawana ubavu huo hata kujaribu tu. Lazma wategemee mkopo lakini mkopo wenyewe ni Mchina ndiye anayefadhili na lazma atakaye mkopo mpaka afuate masharti yake ambapo Lazima atumie line ya Kenya na Kenya ndio guarantor wa huo mkopo. Hope umenielewa
bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazikwa rwanda toa kabisa kwenye mawazo yako labda uniambie uganda na still bado uganda anaangalia better way to choose so na mpaka sasa munamtegemea sana uganda inamaana uganda akikataa tu ujue sgr inageuka kua white elephant
Akili yako nyembamba haijui methali,hio ndio kazi unayoifanya hapo nyumbani au nikuulize, misuri hutokea na wapi hapa kwenye kipakatalishi changu?
Haha feelings pelekea bibi
Wakenya nadhani kuna shida vichwani mwenu.Sawasawa sikatai kuhusu tanzania kwani anajenga kwake. But poor ldc countries like Uganda and Rwanda hawana ubavu huo hata kujaribu tu. Lazma wategemee mkopo lakini mkopo wenyewe ni Mchina ndiye anayefadhili na lazma atakaye mkopo mpaka afuate masharti yake ambapo Lazima atumie line ya Kenya na Kenya ndio guarantor wa huo mkopo. Hope umenielewa
Hukumuelewa ichoboy alichokuambia, kwamba hata Uganda na Rwanda wanaweza kuachana na China Exim Bank wakaamua kuomba Turkey exim bank, kama interest ya Turkey exim bank ipo chini, hakuna sababu ya kuchukua China.Sawasawa sikatai kuhusu tanzania kwani anajenga kwake. But poor ldc countries like Uganda and Rwanda hawana ubavu huo hata kujaribu tu. Lazma wategemee mkopo lakini mkopo wenyewe ni Mchina ndiye anayefadhili na lazma atakaye mkopo mpaka afuate masharti yake ambapo Lazima atumie line ya Kenya na Kenya ndio guarantor wa huo mkopo. Hope umenielewa
kwa rwanda toa kabisa kwenye mawazo yako labda uniambie uganda na still bado uganda anaangalia better way to choose so na mpaka sasa munamtegemea sana uganda inamaana uganda akikataa tu ujue sgr inageuka kua white elephantSawasawa sikatai kuhusu tanzania kwani anajenga kwake. But poor ldc countries like Uganda and Rwanda hawana ubavu huo hata kujaribu tu. Lazma wategemee mkopo lakini mkopo wenyewe ni Mchina ndiye anayefadhili na lazma atakaye mkopo mpaka afuate masharti yake ambapo Lazima atumie line ya Kenya na Kenya ndio guarantor wa huo mkopo. Hope umenielewa
Ukweli ni kwamba, hata Kenya yenyewe haijafikia maamuzi kati ya kuifikisha reli hadi Malaba au waishie Kisumu, bado wanapiga hesabu kama kuifikisha Malaba itaongeza economic value kulinganisha na kuishia Kisumu na kuimarisha bandari ya Kisumu, ili mizigo ya Uganda ipitie ziwanikwa rwanda toa kabisa kwenye mawazo yako labda uniambie uganda na still bado uganda anaangalia better way to choose so na mpaka sasa munamtegemea sana uganda inamaana uganda akikataa tu ujue sgr inageuka kua white elephant