Zamzam bado iko...walifungua hata supermarket last month going by the same name hapo kariby na stage. Ulikuja Migori lini? siku hizi imejengeka unaweza sahauyap nakumbuka bansi sawa kabisa na kuna ile hotel inaitwa zamzam ya wasomali bado ipo maeneo ya stage?? aise siku nyingi sana, asante
Kabisa...phase 1 ni pesa ya ndani yote nashangaa kajedwali kemeandikwa 50%mkopo...Hilo jedwali litakua limeandaliwa na wakenya waka wapa waganda!! haiwezekani reli ikabeba tons 20-35!! Sasa hiyo ndiyo nini halafu Tz wameweka 18 tu, kama ni minimum na maximum wangeweka pia na kwa upande wa Tz. Halafu hapo wanaongelea Dar to Moro hii project ni full financed na TZ gvnmt ila hapo wameweka 50% ni mkopo!!
Nawasubiri hapa tuone.[emoji122] [emoji122]Bravo Magu.Tunakuja hapa tena
![]()
kwa bahati gani ndugu 😀😀😀😀😀bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
kwa bahati gani ndugu 😀😀😀😀😀
munamtegemea sana uganda inamaana uganda akikataa tu ujue sgr inageuka kua white elephant
I think these guys ain't normalTanzania has 1500km of paved roads,
1500 megawatts of electricity,
85%-90% Tanzanians have no access to power,
0km of SGR,
LDC(Least Developed Country)
Hahahaha
nilipo kuja ilikua stage ishajengwa tayari i think 3 or 4 yrs ago alaf kisumu pia nimekaa zaidi ya mweziZamzam bado iko...walifungua hata supermarket last month going by the same name hapo kariby na stage. Ulikuja Migori lini? siku hizi imejengeka unaweza sahau
serengeti mwaka huu imezidiwa na watalii![]()
Ndani ya Serengeti. Watalii wazidi kumiminika.
We acha uongo kwanza kutoka dar hadi bukoba tu km1553 na hiyo ni barabara mojaTanzania has 1500km of paved roads,
1500 megawatts of electricity,
85%-90% Tanzanians have no access to power,
0km of SGR,
LDC(Least Developed Country)
Hahahaha