Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MTABISHANA HAPA ILA KUNA KITU HAMTASEMA ,DAR YETU NI CHAFU.NA HIZO PICHA ZENYE MNATUMA KWA JUU HAZIONYESHI MABANDA YALIYOJAA BARABARANI YA MACHINGA,PALE KIMARA SAHV HUELEWI HATA UINGILIE WAPI DARAJANI WAFANYABIASHARA WAMEJAA,MITAANI KUCHAFU NDO USISEME,SIJAWAHI KUFIKA NAIROBI ILA MOSHI TU NI PAZURI KULIKO DAR KABLA HATUJAAMUA KUBISHANA NA WATU WA NAIROBI
 
Huyo karudi tena na vipicha vyake since 2017, haki ya mama kenya nothing new 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Na pembeni ya hapa kuna nini?πŸ€­πŸ€­πŸ€£πŸ‘
 
Kwamba matajiri wa Dar wanamiliki punda? Punda? 🀣🀣🀣 Not even horses? 🀣🀣🀣 Yani huko glorified fishing village owning a donkey is a sign of opulence? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣😭Huyu jamaa huwa na kichwa kizuri kweli?ama ni Yale ma fumes ya jetfuel yanamuadhiri akiwa kwenye uskani pale anapochunga gate mbwa wasiingie usikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Tuko mwaka 2025 unaenda kuokota picha za 2018
 
Kwamba matajiri wa Dar wanamiliki punda? Punda? 🀣🀣🀣 Not even horses? 🀣🀣🀣 Yani huko glorified fishing village owning a donkey is a sign of opulence? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣
 
 
Kumbuka haya mazingira yakiwa huku sii slum ila yakiwa Kenya ni slum. Kwao hakuna slum, ni dreamhouses tu. That is Bongolala logic. 🀣 🀣
cc instanbul
That's what you expect from this delusional brainless CCM zombie puppets πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
That's what you expect from this delusional brainless CCM zombie puppets πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Brainless zombies but with more life standard kuliko wale ambao wanajiona wako vyema ila wanalilia kazi za kwenda kuosha vyombo 🀣🀣🀣. We expected kwamba due to the ongoing corruption mgekuwa mshamuondoa ruto ila hakuna kinachofanyika , hata bima ya afya mnashindwa kujihudumia.
No salary delays ila nyinyi daily frequent salary delays within counties.
 
hizi pic za mwaka gani ??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nijibu bila hasira kwasababu mm nakuletea ushahidi wa leo hii
πŸ€­πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘njooni muone mfano wa picha ya 20years ago kule Newyork cityπŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…