Yani unapata wabongo miaka nenda miaka rudi wanaishangaa ile Ambulance ya tuktuk ya Lamu utadhani kwao ambulance zote ni mercedes v class kumbe ni kitu cha kawaida sana kwao. Hawa jamaa ni professional pretenders.πππOneni hii "ambulance" ya kisasa na aina yake ikitumika kule Dar wakati wa mkasa. Muathiriwa anabebwa kama gunia la mihogoπ€£π€£π€£π€£
New York of Africa ina mambo πππ
View: https://x.com/Civil_officer/status/1857759496572998029?t=fvf5cbYXPAfNSMtHF-5ERQ&s=19
Tukiwaambia tofauti ya huku na kwao ni kwamba wao ni waficha uchi hawaskii. Kama walimu wamepiga ripota unajua ni reporters wangapi wameshindwa kureport uozo kisa watajipata mashakani? Kama walimu wanaweza piga reporter sasa imagine wafanyakazi wa serikali na wanasiasa watamfanyia nini?This is not rural Tanganyika. This is Dar is slum where pupils learn under trees! πππ
Alafu Kuna kilaza yupo Nairobi anapiga picha za takataka barabarani kule Donholm akishangiliwa na vilaza wenzake
View: https://x.com/HecheJohn/status/1811388036279615696?t=zRq531m2K9lFcWnz8bpSpA&s=19
Mkiambiwa wekeni video mnaruka.π€£π€£ππzeruzeru ndio hii Mafi fresh straight from newyork of Africa kama vile unavyoipenda. bon appΓ©tit, enjoy your your mealπ€ππ.View attachment 3474391View attachment 3474392View attachment 3474393View attachment 3474394View attachment 3474395View attachment 3474396View attachment 3474397View attachment 3474398View attachment 3474399View attachment 3474400View attachment 3474401View attachment 3474402
Sasa kama wameshindwa ripoti hizo zimepatikanaje? Huwez zuia Kila kitu haya linganisha hizo na uchafu wenuπ€£π€£π€£π€£Tukiwaambia tofauti ya huku na kwao ni kwamba wao ni waficha uchi hawaskii. Kama walimu wamepiga ripota unajua ni reporters wangapi wameshindwa kureport uozo kisa watajipata mashakani? Kama walimu wanaweza piga reporter sasa imagine wafanyakazi wa serikali na wanasiasa watamfanyia nini?
cc Geza Ulole Chamoto
Ulitaka wasubirie 20 minutes mpaka ambulance itoke muhimbili au ocean road wakati kuna usafiri wa haraka ndo maana tunawambiaga hamnaga akiliYani unapata wabongo miaka nenda miaka rudi wanaishangaa ile Ambulance ya tuktuk ya Lamu utadhani kwao ambulance zote ni mercedes v class kumbe ni kitu cha kawaida sana kwao. Hawa jamaa ni professional pretenders.πππ
Bro where have you beenπ€£π€£π€£View attachment 3474404
π€£π€£π€£amkeniii!, 'sie hatutumii pro box, wanatumia probox kama Gari ya polisi π€£π€£π€£π mungu wangu...
Hiyo Toyota Noah ya miaka ya 2001 ndio grader ama ndio excavator?π€£π€£π€£π€ni kweli, hata mimi naona ziko under constructionπ€£π. Watu wangu njooni muone mfano wa roads under construction kule Newyork city,the only the city in Afica with BRT!π€π€£π€£π€£π...View attachment 3474410View attachment 3474411View attachment 3474412
Ulitaka barabara ikiwa inajengwa kusiwe na gari kabisa kwa pichaHiyo Toyota Noah ya miaka ya 2001 ndio grader ama ndio excavator?π€£π€£π€£
Taarifa imesema who Can't afford? Kumbe hamuwezi afford Azam asee ndio mnataka Free KBC?Main sponsor wa KPL ashasema more matches should be broadcasted at KBC because Kenyans lack Azam decoders. The writing is on the wall.
View: https://x.com/pepeta_ke/status/1967970553089708080?t=HubXxKTyPrIR0KwR6nvezA&s=19
Hata hiyo kbc yenyewe haina resources za kuonesha hiyo league mpaka wategemee serikali iwaboost , hawana magari ambayo yanaweza Fanya live broadcasting hata sehemu zile sehem ambazo haziwez fikika. While Azam anauwezo wa kubroadcast hata mechi nne kwa wakati mmoja maana resources zipo .Taarifa imesema who Can't afford? Kumbe hamuwezi afford Azam asee ndio mnataka Free KBC?
Mostly ya hizo games ni kazi ya individual personels na hiyo ni sababu ya njaa kuwa Kali , ukija kwenye issue teams kwa michezo yote mko nyuma. Na usikute hata hiyo nauli yenyewe wamechangiwa na ndugu."Eti what sport is kenya good at" wakati levels kama hizi hata hawawezi kuota
View attachment 3474609
Exactly. Living in denial and oppressing dissenting voices/people who openly come out to call out he governmentTukiwaambia tofauti ya huku na kwao ni kwamba wao ni waficha uchi hawaskii. Kama walimu wamepiga ripota unajua ni reporters wangapi wameshindwa kureport uozo kisa watajipata mashakani? Kama walimu wanaweza piga reporter sasa imagine wafanyakazi wa serikali na wanasiasa watamfanyia nini?
cc Geza Ulole Chamoto
Issue ni hofu tu ingekuwa kanunua mtu kutoka usa hata kwa wizi wangekaaa kimyaaamtanzania yule yule alienunua bamburi sasa ananunua na hii πππ
View: https://x.com/shobanes/status/1968268424863498626?s=46
Kama vile nyinyi mnavoishi kwa denial kuwa ni maskini wa kutupwa na mnaishi kama nguruwe tuExactly. Living in denial and oppressing dissenting voices/people who openly come out to call out he government
Kwa Ruto huku! Meanwhile Polisi stations Tanzania!police station in singapore africa
View: https://x.com/bernardkavuli/status/1967984027765457207?s=46