mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Baada ya renovation mkapa haitafika hata nusu ya nyayoMkapa juzi imewasanua hadi mmepandwa na pressure,mnapost uchafu sasa
Baada ya renovation mkapa haitafika hata nusu ya nyayoMkapa juzi imewasanua hadi mmepandwa na pressure,mnapost uchafu sasa
Mbio za meter 100,000 ? Hiyo hatuwawezi, kila siku tunawaambia pambaneni na mbio cz wakenya ni wezi, ukiwa mwizi sharti ujue kukimbia, tena ukimbie kweli kweli sio meter 100 bali kuanzia meter 100,000 kwenda juu. Hongereni kwa mbio, ila sio soka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakati unafurahishwa na local tournaments, wengine wapo kimataifa
View attachment 3472097View attachment 3472098
Nshakuambia hao ni wakenya wenzenu, bunge lenu si lilipiga kelele kwamba kuna watanzania ombaomba? Baada ya uchunguzi nn kilifuata? You know what? Waligundua 100% ya ombaomba ni wakenya, na zaidi ya hapo wakagundua wakenya wengine wapo kakuma wameji register kama wakimbizi, kilichofuata wakakaa kmyaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatujawahi kuwa na huo ujinga, watanzania omba omba wamejaa huku, wacongo na waburundi wamejaa huku wakifanya biashara rejareja. Wasomali, wasudanese wote wamejaa hukuu, ila hutwahi tuskia tukijinyima amani kwasababu yao kama mnavyoumizwa moyo na mtu moja
Kwanza mpambane muwe na stadium inayokaribia mkapa kwa capacity zen uje tu discuss.Baada ya renovation mkapa haitafika hata nusu ya nyayo
na nyie hamchoki kupiga miti tu kila siku binti huyohuyo munampelekea moto😂
shera iwe msumeno kaka, kama ni sheria imepitishwa ni wazi ifatwe, sheria ambayo sisi hatuwez kuifata ni kuwanyonga mafisadi na viongozi wanaotumia vibaya madarakaMuda mwingine ni kuwasamehe tu majority ya wakenya wenye chuki ni wale ambao hawatembei kuna wengi wao tunafanya nao biashara vizuri tu, kumfukuza si hoja aelekezwe tu taratibu za kufanya
pesa ya kulipa mishahara hamuna 😂😂Nyayo stadium will undergo renovation and Canopy installation from next month
View attachment 3472082
ombaomba ambao mpaka leo mumeshindwa kuwarudisha makwao yani inamaana ombaomba ana passport kabisa 😂😂😂😂Nasupport mchukue hizo kazi muwapee hawa omba omba wenu waache kutuharibia miji yetu
What does a bicycle mechanic knows about data?The same data that says China is a third world country 😆😆
hawana makwao? mbona hamuwarudishu kama kweli ni watanzania😂Hatujawahi kuwa na huo ujinga, watanzania omba omba wamejaa huku, wacongo na waburundi wamejaa huku wakifanya biashara rejareja. Wasomali, wasudanese wote wamejaa hukuu, ila hutwahi tuskia tukijinyima amani kwasababu yao kama mnavyoumizwa moyo na mtu moja
nyayo imefanyiwa renovation mara ngap? au tufukue makaburi sasa hvi? 😂😂Baada ya renovation mkapa haitafika hata nusu ya nyayo
Hivo ndio mlisema kwa Talanta na Kasarani pia.pesa ya kulipa mishahara hamuna 😂😂
Zaidi ya wakenya 50,000 ni wakimbizi pale kakuma refugee camp, pambaneni na hawa kwanza.Hatujawahi kuwa na huo ujinga, watanzania omba omba wamejaa huku, wacongo na waburundi wamejaa huku wakifanya biashara rejareja. Wasomali, wasudanese wote wamejaa hukuu, ila hutwahi tuskia tukijinyima amani kwasababu yao kama mnavyoumizwa moyo na mtu moja
alaf wanakwambia watanzania ni ombaomba ilihali wameshindwa kuwarudisha kama kweli ni watanzaniaZaidi ya wakenya 50,000 wapo kakuma refugee camp kama wakimbizi, just imagine raia wanajiita wakimbizi ndani ya nchi yao ili wapate chakula cha bure.
View attachment 3472145
![]()
Navigating the legal landscape of double registration in Kenya - Amnesty Kenya
Over 40,000 Kenyans are estimated to be victims of double registration, where their fingerprints appear in the database of refugees managed by UNHCR and the Kenyan government. This means that, although they are entitled to Kenyan citizenship, they cannot acquire national identity cards because...www.amnestykenya.org
talanta ni PPP mali ya mchina kama ilivo expressway niliwah kukwambia robo tatu ya majengo makubwa nairobi ni ya foreignersHivo ndio mlisema kwa Talanta na Kasarani pia.
After investigation serikali yao na bunge likagundua kwamba sio tu wale ombaomba ni wakenya bali pia kuna wakenya zaidi ya 100,000 wameji register kama wakimbizi pale kakuma refugee camp 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇alaf wanakwambia watanzania ni ombaomba ilihali wameshindwa kuwarudisha kama kweli ni watanzania