Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unahamaki na kutukana watu bila sababu?

Reli inayo link Zambia, Zimbabwe mpaka South Africa ni cape gauge (CGR).

Kwa sasa, SADC haina mpango wa kujenga SGR, ni EAC tuu ndiyo iliweka mkakati huo, Kipindi cha kikwete.

Kusema reli itafika SA, ni ahadi hewa za kuwahadaa wa Tanganyika.
Ma wewe una political emotions nyingi sana!!! Haina maana kubishana kabisa......naona tuishie hapo tu......
 
Helped by KQ
Screenshot_20250915-181007.png

Mbona tushawazoea nyie wangese
 
Ma wewe una political emotions nyingi sana!!! Haina maana kubishana kabisa......naona tuishie hapo tu......
Dah!, sasa nani hapa mwenye political emotions?

Lobito Atlantic railway ni cape gauge.

Investment ya kubadilisha cape gauge kuwa standard gauge kwenye nchi za Sadc, pesa hiyo hakuna. Zimbabwe, Zambia na Botswana wote choka mbaya, ndiyo maana nikasema hizo ni empty promises, we ain't stupid.
 
Back
Top Bottom