ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wakenya hawakujua lengo letu maskini ya Mungu, hawakujua kama maneno yao sisi tuliyachukulia serious na tukaita timu zao zote tukatomba ili kuwaonesha kwamba we are the power House of EA as far as football is concerned. Mnuka mavi naona hana cha kuongea na domo lake pana kama la papa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I almost laughed when he used that caption "what sports is Kenya good at"Wakati unafurahishwa na local tournaments, wengine wapo kimataifa
View attachment 3472097View attachment 3472098
haya na coastal union nae kajilia kiboga kaona isiwe tabu 😂😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DOl7IX_grCn/?igsh=amJlYmR2b2x5aDNh
Lengo langu ni kupiga panapouma, hiyo ndiyo agenda yetu watz wa jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I almost laughed when he used that caption "what sports is Kenya good at"
I was like, wtf! That watchman from Tandale has got some balls of steel to ask such a question 🤣🤣🤣
I mean, Kenya is Africa's sports powerhouse. The most decorated African nation in the Olympics!
From athletics to rugby to Javelin to swimming to volleyball to cricket. Name it. Our athletes have conquered the world in all these disciplines plus many others and a Nyamwezi is here asking what sport is Kenya good at wakati kwao hizi zote zitabaki kuwa ndoto! Mitanganyika zinatia huruma
Sisi ni wakarimu. Hatuendeshwi na hisia za chuki kama nyinyialaf wanakwambia watanzania ni ombaomba ilihali wameshindwa kuwarudisha kama kweli ni watanzania
Wapi panauma? Kuuliza which sport is Kenya good at ndio kuumiza? Wewe upon desperate sana 🤣🤣🤣Lengo langu ni kupiga panapouma, hiyo ndiyo agenda yetu watz wa jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iko wapi passport ya Tanzania apo, speaking of chuki, yn mshindwe kupendana wenyewe kwa wenyewe mje kupenda wageni? Zaidi ya wakenya 50k wameji register kama wakimbizi pale kakuma refugee camp sembuse kuwa beggar? Endeleeni kubagua wakenya wenzenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi ni wakarimu. Hatuendeshwi na hisia za chuki kama nyinyiView attachment 3472231
You expect a street beggar to have a passport? 😄🤣🤣Iko wapi passport ya Tanzania apo, speaking of chuki, yn mshindwe kupendana wenyewe kwa wenyewe mje kupenda wageni? Zaidi ya wakenya 50k wameji register kama wakimbizi pale kakuma refugee camp sembuse kuwa beggar? Endeleeni kubagua wakenya wenzenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wivu unawasumbua! Wao ndio wame-block migratory routes na ujenzi wa lodges wa Kindezi!Imagine Media kubwa kama hii. Inapost upumbavu kama huu.
Na walivyo ndezi wakenya wenye asili ya wivu bila kuhoji wanaunga mkono.
![]()
551K views · 17K reactions | Tanzanians are blocking wildebeests from crossing to Kenya ~ tour guide Charles Lukokolo. #Earthwise: https://youtu.be/qrHk_iJEbfA | NTV Kenya
Tanzanians are blocking wildebeests from crossing to Kenya ~ tour guide Charles Lukokolo. #Earthwise: https://youtu.be/qrHk_iJEbfAwww.facebook.com
Sasa hizo za wachina mnajifanya mapebari lakini nchi mnaiuza kwa wachinaHivo ndio mlisema kwa Talanta na Kasarani pia.
Hapo ndipo nilipopataka, so, mnaruhusu raia wa kigeni kuingia nchini kwenu pasipo any passport or travel documents? Mbn sisi huku kwetu hamuingii bila docs, hilo ni taifa gn la ki mbwa raia wa kigeni wanaingia tu kama chooni?You expect a street beggar to have a passport? 😄🤣🤣
watchman jamani!😂
Hii nayo itawauma sana. 😂😂😂Kichaka cha athletics nacho tushaanza kukifyeka,simbu kishabeba gold medal huko tokyo
View attachment 3472427