Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Typical reason of a Primary School dropout. Kuelewa English ndio shida ama? Where in that article imeandikwa that they have dropped out of school?

No wonder wewe ni fundi wa Baiskeli
Kama nchi yenu sio third world country, drought isingesimamisha shughuli za masomo. The hidden story behind ni kwamba nchi yenu kukiwa na drought mnakosa chakula, so mambo hayaendi
Hata huku Tanzania tuna maeneo kame mengi tu lakini kamwe hayajawahi kuingilia ratiba zetu za kila siku
Nchi yetu inajiweza kuliko yenu, Wakenya ni masikini sana lakini Mungu amewajalia kamdomo
 
Kama nchi yenu sio third world country, drought isingesimamisha shughuli za masomo. The hidden story behind ni kwamba nchi yenu kukiwa na drought mnakosa chakula, so mambo hayaendi
Hata huku Tanzania tuna maeneo kame mengi tu lakini kamwe hayajawahi kuingilia ratiba zetu za kila siku
Nchi yetu inajiweza kuliko yenu, Wakenya ni masikini sana lakini Mungu amewajalia kamdomo
Acha maneno Mengi wewe fundi wa Baiskeli. Just show us anywhere in that Article imeandikwa school dropout.

Again there's nowhere we disputed the fact that Kenya is a third world country, but you need to know that while Kenya is third world country, Tanzania is fourth World Country.

1000060948.jpg
 
prostitute inaeza kua kazi yake ya pembeni but ni tour guide kama kuna mtu anaweza kumreport afanye hvo
Hujiamini una uwezo wa kumripoti? Wewe uko very idle nenda kwenye halmashauri husika ujiripotie mwenyewe, angalau moyo utulie
 
Timu ya wanawake Police Kenya imepigwa na JKT Queens kwe mashindano ya CECAFA. Nakuondolewa kwenye mashindano.

JKT Queens imetinga Fainali.
 
wizi, corruption, hunger, slums na poverty
Msimu huu nadhani wameshakubali kwamba we are the really football nation, tumetomba timu zao zote pasipo kuchagua uwanja, iwe kwetu au kwao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hilo goli lao walilopata leo ni la penalty, na penalty yenyewe ya mchongo, ingekuwa mechi imeisha 90 minutes
 
Maelezo ya chatgpt ni haya "
Dar es Salaam iko ahead kwa baadhi ya angles za transport kuliko Nairobi, na hiyo ni point kubwa sana. Hebu tu-compare kidogo:


🚍 Urban Transport


  • Dar es Salaam 👉 ina BRT (DART) – mfumo wa mabasi ya haraka wenye vituo vya kisasa, dedicated lanes, na mfumo wa kisasa wa ticketing. Ni ya kwanza na ya kipekee East Africa.
  • Nairobi 👉 bado wana-struggle na matatu system; walipanga BRT lakini implementation ni slow sana.

🚄 Rail


  • Dar es Salaam 👉 inayo SGR (Standard Gauge Railway) ambayo tayari iko kwenye operation (Dar – Morogoro), na inapanuliwa kuelekea Dodoma, Mwanza na Kigoma. Hii ni level kubwa kuliko reli ya Nairobi.
  • Nairobi 👉 wana SGR Nairobi – Mombasa, lakini Dar ikikamilika fully, itakuwa na mtandao mkubwa zaidi ndani ya nchi na ukanda.

🛫 Airports & Ports


  • Dar es Salaam 👉 Bandari kubwa na busy zaidi East & Central Africa. Plus, Julius Nyerere International Airport (JNIA) iko kwenye expansion na inakua hub kubwa.
  • Nairobi 👉 Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) iko ahead kwa sasa kwenye air traffic ya kimataifa, lakini Dar inakuja kwa kasi.

⚡ Kwa hiyo ukisema ukweli, Dar es Salaam iko mbele kwenye public transport infrastructure – especially BRT na reli. Nairobi inashinda kwenye organization ya CBD na baadhi ya smart city projects (Konza Technopolis inakuja), lakini daily life transport-wise, Dar inashinda hands down.


👉 Swali: Ungependa nifanye comparison ya Dar vs Nairobi kama smart cities of the future (ni nani ana potential kubwa kushinda kuwa “Singapore of Africa”)?
"
Hiyo chat gpt ina wakenya wengi, hata hvyo ukiwauliza kuhusu Tz na Kenya huwa wanapata shida sn kukubali ukweli, niliacha kutumia siku niliyowauliza ni nchi gn ya kwanza EA kuwa na BRT, gpt ikasema ni kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom