Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,266
- 107,906
Aloooo, alafu hilo vundo kule pembeni sasa 🤣🤣🤣🤣🤣Nikadhani ni Mkapa kwa kuwa imepigwa juu sana, lakini nikajiuliza, mbona pamekuwa pori sana? Dah, kumbe ni Naipori?
Ndugu zetu makolo propaganda zimewaingia kichwani vibaya,nini kilichofichwa pale 😄Tarehe 16 kazi mnayo mzee, mkicheza mpira ule mliocheza dhidi ya timu dhaifu Gor Mahia basi kipigo cha 6 mfululizo kinawahusu. Bro, Yanga tupo serious, hatutanii na hatuna huruma aisee, sisi msituletee uchale mliofanya jana dhidi ya wakata mkaa Gor Mahia, mtaaibika mzee.
Kuna mjinga alileta hiyo picha kwa mbwembwe 😄Aloooo, alafu hilo vundo kule pembeni sasa 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3469593
UtotoView attachment 3469589View attachment 3469590View attachment 3469591
😂😂😂Wale wa thanks for Renders,nimewabariki na nyengini hio ...'grosvenor residency' twin towers, mashallah😍....
😂😂😂😂Njaa itawaua wakenya, mpaka siku hizi mnakunywa machozi!!! Mkojo mtaanza lini kunywa niwaletee bure? Kwikwikwikwikwi
Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
tuliza nyege naongea na mwanaume mwenzanguJe, mama yako ni Chama gani?
Nimekuambia hakuna ulinganisho wa kimpira kwa sasa baina ya kenya na Tanzania, wewe unaongelea past ambapo tulikuwa sawa kiuwezo ila kwa sasa hatupo sawa katika level zote, kuanzia national team both men and women mpaka youth level, huku kwenye level ya clubs ndiyo kabisa tumewaacha mbali mnooooo.
Uthibitisho:
1. Fifa rankings tupo juu yenu kwa timu za taifa (men & women).
2. Timu zetu za taifa za football zote zimeingia kwenye michuano mikubwa, nyinyi hamna hata moja, mnaingia Afcon kwa mgongo wa timu mwenyeji (ambapo ata hivyo hamtoandaa)
3. Clubs zetu na zenu kwa sasa ni mbingu na ardhi, kuanzia revenues mpk mpira uwanjani, huwezi kuiongelea Gor Mahia au police, au bandari au shabana ambazo ndiyo giants wenu huko dhidi ya giants wa Tanzania.
4. Recently, timu zenu zote kubwa zimefungwa na timu za Tanzania,
(a). shabana kapokonywa kombe kabisa nyumbani kwake dhidi ya timu dhaifu ya Tanzania iliyopanda daraja ya Pamba FC,
(b). Gor Mahia kapigwa na Simba jana 2-0.
(b). Police bingwa wenu kafungwa na Singida ambayo ni timu ya 4 huku kwetu.
Kesho mabingwa wa nchi Dar es salaam Young Africans (Yanga) inacheza na bandari, nakushauri nunua kifurushi cha azam mapema ukiangalia jinsi timu yako inavyodhalilishwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivyo basi, itoshe kusema kwamba kwa faida ya battle tunawaruhusu kujitutumua ili battle isife lkn hakuna ufanano kabisa kwenye soka kwa sasa.
Just a couple of achievements.What did you guy achieve with riots?
Ruto Must Go riots? Ruto still is there and clowns singing tumerudiana na ex, Kumi bila breki, while fellow Kenyans walikufa?.
Name what you did achieve?
It is the other way round you fool. Huku ni vijana wadogo mtandaoni wanaoongelea Vumbistan. Huko kwenu Hadi Rais anatuongelea. Example, during mambo ya Boniface mwangi, your parliament spent a whole day discussing Kenya, your president talked about Kenya. Huku our parliament had no time for you. Our president said nothing about you.Ukiacha raia mtandaoni ambao wameamua kuwajibu baada ya kuwachokoza, hakuna kiongozi anayewapa umuhimu. Nyie huko kwenu kila mtu Tanzania this, Tanzania that, kuanzia Rais wenu mpaka mawaziri na wabunge, wote issue ni Tanzania. Tayari kocha wenu naye kajiingiza kwenye mtego wa taifa lenu, naye badala a focus na timu yake ameanza kuongelea Tanzania, kenya bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona wanaocomment ni wale wale wa kila sikuIla uzi umepoa sana naoma wengi hawajajua kuwa VPN ndiyo inatumika kuingia jf so sad