Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
Yale mafisadi yanatakatisha pesa tu. Halafu yote yamekariri magari.Hapa ndio huwa nawadharau mafisadi wa Bongo. Wanakimbilia kujjnua super cars badala ya kufungua viwanda vidogo kama hivi na kuajiri waTz.
Tayari Boss, Ishapigwa Kama Haile Selassie 😎 Na Bagamoyo Road pia Imetandikwa kitu hadi Pale kwa Nyerere.Hii ilikuwa quicker solution sio complete rebuild ambayo ingechukua muda mrefu na hela nyingi.
Kimweri nayo inabidi iangaliwe from Namanga to Chole road.
Sijapita Kimweri muda mrefu. Wamefanya jambo la maana.Tayari Boss, Ishapigwa Kama Haile Selassie 😎 Na Bagamoyo Road pia Imetandikwa kitu hadi Pale kwa Nyerere.
Wameanzia Namanga Macho hadi huko Chole mkeka mpyaaa kama wa Haile selassieSijapita Kimweri muda mrefu. Wamefanya jambo la maana.
Safi sana ile njia ilisahaulika miaka mingi sana.Wameanzia Namanga Macho hadi huko Chole mkeka mpyaaa kama wa Haile selassie
hii page haifunguki.
Unadhani kama umeathirika na lugha ya mama kisukuma then Kila mtu ako hivyo?! Yani wewe hapo you want to engage me on matters English proficiency? Maajabu haya!"Yu havu not answarad ze kweshon"
Hivyo ndivyo ungesikika ukisema 👆👆🤣🤣🤣
Pole jirani kwa kichapo cha janaUnadhani kama umeathirika na lugha ya mama kisukuma then Kila mtu ako hivyo?! Yani wewe hapo you want to engage me on matters English proficiency? Maajabu haya!
Accent yako ni mbovu kwasababu wewe ni mkenya, huwezi kuwa mzr kwenye English.Unadhani kama umeathirika na lugha ya mama kisukuma then Kila mtu ako hivyo?! Yani wewe hapo you want to engage me on matters English proficiency? Maajabu haya!
Mkisema owned by Mama Ngina huyo Mama Ngina ni Mtanzania?Azam is a Tanzanian company. Au ni mkenya .? 🤣🤣🤣
Mkisema owned by Mama Ngina huyo Mama Ngina ni Mtanzania?Azam is a Tanzanian company. Au ni mkenya .? 🤣🤣🤣
Kunyan kwao kiingereza ni maendeleo
Mtatoka tu kama kenya...tyari Morocco ashaqualify