Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha ati ******** anacopy paste Kagame.....

Faida ya kutubu ni kubwa kuliko ujeuri,maovu mengi yametendeka chini ya uongozi wake,maisha ni magumu na mbele ni giza nene.Alafu nashangaa hvi unaendeshaje nchi kubwa kama hii kwa kucopy na kupaste kwa kagame anayeongoza mkoa????Kiongoz huna priority, ni maajabu sana
 
Hii hapa ni India mmeiga hahahaha "Kathipara Cloverleaf"

20111118-bwolf-US131-Stadium-Dr-Cloverleaf-Interchange-Kalamazoo-MI.jpg

The Most Prominent Cloverleaf Interchanges in India - Hotels In South

Nairobi hahahahaha

bypass1.jpg
Mbona ya Nairobi iko substandard, ni chafuchafu hivi
 
Hahahaha ati ******** anacopy paste Kagame.....
Stop this nonsense of yours, Magufuli ni rais bora Africa na duniani kwa sasa, japo anamapungufu yake ktk upande wa political tolerance and freedom of expression, lakini bado anabaki kuwa rais bora kwasasa.

Copy and paste katika mambo mazuri ya maendeleo ni jambo zuri na ni busara, kama vile ambavyo Uhuru Kenyatta alivyoanza kumuiga Magufuli kwa kutembelea ofisi ya wizara ya fedha kwa miguu, kupunguza mishahara ya watumishi, kupiga marufuku pesa ya serikali kuwekwa katika bank za biashara na kuzuia matumizi ya shisha[emoji1] [emoji1]
 
Arguing with a tanzanian is one hell of a job!...Siongelei minara ndugu yangu. Does ponte city apartment in Johannesburg has an antenna? definitely not. Am talking about the actual height of a building ndo maana nikakupa mfano na ponte city. Japo ponte lina floors mingi kushinda Carlton center (54 floors against 50 floors za Carlton) bado calton ni refu kushinda ponte city. Haya majengo yote hayana minara. Kama number of floors ingetumika kuthamini urefu wa jumba, basi ponte city ndo ingekuwa jengo refu hapa Africa kwa sasa. Mbona vitu rahisi hivi ni shida kwenu kuelewa?
Cheki hayo maminara yalivyo marefu kuliko hata building yenyewe
IMG_20171231_070527.JPG
 
Tz haina stima ya kutosha...only 15% of the total population has access to electricity while the rest 85%....

Increasing Electricity Access in Tanzania to Reduce Poverty

Situation Analysis and Framework Conditions
Tanzania has abundant and diverse indigenous energy resources which are yet to be fully exploited. The sources include; wood fuel and other biomass fuels, hydropower, natural gas, coal, uranium, wind, geothermal and solar [1] .
Tanzania’s energy supply depends mainly on biomass. Since 85-90% of the population are not connected to the electricity grid, the overwhelming majority of households use wood and charcoal for cooking. As a total, biomass makes up close to 90% of the total primary energy consumption in Tanzania. Unfortunately, this leads to the deforestation of 100,000 h per year, of which only about a quarter is reforested.
[2] Other energy sources are petroleum, which makes up 7.8% of total primary energy consumption, natural gas (2.4%), hydropower (1.2%) and coal/peat (0.3%).
[3] About 6.6 percent of primary energy needs to be imported, primarily from Uganda (8 MW) and Zambia (5 MW) [4]
[1] .
Electricity makes up only 0.6% of total energy consumption. [5] In 2008, 4,414 GWh of electricity were generated in Tanzania, of which 2,655 GWh from hydropower, 1600 GWh from natural gas, 119 GWh from coal and 40 GWh from petroleum. Total installed capacity amounted to 1,219 MW, of which 561 MW was hydropower and 658 MW thermal power.
Endelea na hizo hekaya zako za kilabuni, 2020" Tanzania nzima itakua na umeme tuna plant ya megawatts 2200 na phases za megawatts 2000
Vijiji Vyote Visivyo na Umeme Kupata Umeme Ifikapo 2020/21 - Full Shangwe Blog
 
bagamoyo wameanza ujenzi na 2020 wanaanza kupokea meli ya kwanza na mm nakuhakikishia bagamoyo will be ready before lamu, lamu mulikua munaitegemea zaidi pipeline from uganda sasa tushaichukua na nguvu za kujenga zote zimeisha
Aisee unauhakika 2020 Bagamoyo port inaanza kupokea meli?
 
Arguing with a tanzanian is one hell of a job!...Siongelei minara ndugu yangu. Does ponte city apartment in Johannesburg has an antenna? definitely not. Am talking about the actual height of a building ndo maana nikakupa mfano na ponte city. Japo ponte lina floors mingi kushinda Carlton center (54 floors against 50 floors za Carlton) bado calton ni refu kushinda ponte city. Haya majengo yote hayana minara. Kama number of floors ingetumika kuthamini urefu wa jumba, basi ponte city ndo ingekuwa jengo refu hapa Africa kwa sasa. Mbona vitu rahisi hivi ni shida kwenu kuelewa?

Tofauti ya ghorofa nne ni reassonable.hata kama kuna tofauti ya robo metre kwa kila urefu wa floor in sum utapata matokeo haya kwa urefu ule mkubwa wa majengo.

Britam iko na 200m,33 floors unajua kila floor ina wastani wa metre ngapi???umeishawahi kushuhudia floor ya 6m ukajua inafananaje???it doesnt sound even economically.kama britam ni showroom ya malori may be.

Tunapenda kutumia akili ila wakenya wengi hamuwezi kutumia akili zenu.
 
sio kwamba Kenya haijawai kuwa na gari moshi before. we still have The Lunatic Express which is Narrow Gauge Railway and has been operating since 1905.
naona sasa unataka kuturejesha nyuma kwenye historia ya utawala wa kikoloni EA.

sizungumziii gari moshi la mkoloni...nazungumzia gari moshi mlilokopa kwa pesa kubwa toka kwa mchina ambapo mtalipa deni kwa kukwata kodi zenyu.kila raia mkenya lazima atalipia hata wale mafukara wa kibera [emoji23] [emoji23]

kama unataka tu-concentrate kwenye historia ya utawala wa kikoloni hapa EA,basi sisi tulianza kumiliki gari moshi tangu 1890s.bado tuliwatangulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
4242ad7f688b1a09a63e03949d346963.jpg
 
Mbona ya Nairobi iko substandard, ni chafuchafu hivi
Hii kwanza ni ya USA, developed world. Yaitwa Kalamazoo (Top notch infrastructure and landscaping)
20111118-bwolf-US131-Stadium-Dr-Cloverleaf-Interchange-Kalamazoo-MI.jpg

Yenye Annael in his/her confusion alitaja ndio hii in India, middle income economy
kathipara (landscaping shida but infrastructure iko)
Kathipara.jpg

Ya Kenya nayo hii, middle income economy
Likoni Rd (landscaping shida but infrastructure iko)
18809059_1356774794408954_8737823415651532800_n.jpg

Ya Tz nayo ndio hii LDC (both landscaping and infrastructure are nonexistent)
306263_226393784167349_1863023143_n.jpg
 
Jifurahishe mbongolala kisha ulale. ndo maana nimesema muweke hata 10 floors mkitaka. Uzuri ni kwamba hilo jenga la '28 floors' conquered the east african skyline for years before mjenge ile yenu
Mnaendaga shule kusomea ujinga!!
Umeandika nini !
Jifunze kuandika kwanza
 
I hear you call it "bullet train" down there in bongolala. LOL! If only you danganyikans knew the technology and energy requirements that go into operating a bullet train, mngenyamaza kama maji ya mtungi wala hamgetamka hilo neno. hata pale ulaya ni nchi chache mno ambapo bullet trains hupatikana
Unawashwa wewe,subiri muda wa kukunwa ktk huu huu uzi 2020 nakuombea uzima na utimamu wa akili.
 
sio kwamba Kenya haijawai kuwa na gari moshi before. we still have The Lunatic Express which is Narrow Gauge Railway and has been operating since 1905.
Suala hapa ni ninyi kuanza kujenga reli ya kwanza baada ya uhuru 2017 wakati sisi tulijenga yetu 1970s. Yaani miaka 40 iliyopita.

Hizo zilizojengwa na wakoloni (metre gauge) sisi hata hatuziongelei kwa kuwa teyari tulishakuwa nazo mbili; usambara railway (1890s) na central line (1905).
 
Gari moshi bado zinatumika katika mataifa ya bara Uropa, Amerika na Asia. Nchi nyengine za Uropa zilianza kutumia stima kwa trains zao lakini bado wakarudi pale pale kutumia diesel tena.
Ni vyema iwapo unajenga railway, uwe na njia mbili ambapo iwapo moja ita-fail kwa kuwa na changamoto nyingi, basi njia nyengine itafanya kazi.
Mbona RVR yenu itaendelea kuwepo nayo ni gari moshi, kwanini tena mliamua kujenga hari moshi lengine, kwa maana hiyo hamtokuwa na alternative kwasababu mtakuwa na gari moshi mbili, sisi kwasababu tunalo garimoshi la cetral corridor, tunajenga electrical, kwahiyo moja ikipata shida, alternative itatumika.
How can you dwell on flyovers while your mothers and children live in slums with no water, toilets and sanitations, I fell to understand you nyang'au, stop talking about flyovers and concentrate on slums and hunger, these are important basic needs.

You are the one with elimu duni, apart from english and tribalism, what else your education system offers?, If you still embrace tribalism, what kind of education is that?
 
naona sasa unataka kuturejesha nyuma kwenye historia ya utawala wa kikoloni EA.

sizungumziii gari moshi la mkoloni...nazungumzia gari moshi mlilokopa kwa pesa kubwa toka kwa mchina ambapo mtalipa deni kwa kukwata kodi zenyu.kila raia mkenya lazima atalipia hata wale mafukara wa kibera [emoji23] [emoji23]

kama unataka tu-concentrate kwenye historia ya utawala wa kikoloni hapa EA,basi sisi tulianza kumiliki gari moshi tangu 1890s.bado tuliwatangulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
4242ad7f688b1a09a63e03949d346963.jpg
Cha kushangaza, wakati namjibu huyu sikujua kwamba ameshajibiwa ila baada ya kuitundika ndiyo nikaona ya kwako ukiwa na mawazo yale yale niliyofikiria.
 
Suala hapa ni ninyi kuanza kujenga reli ya kwanza baada ya uhuru 2017 wakati sisi tulijenga yetu 1970s. Yaani miaka 40 iliyopita.

Hizo zilizojengwa na wakoloni (metre gauge) sisi hata hatuziongelei kwa kuwa teyari tulishakuwa nazo mbili; usambara railway (1890s) na central line (1905).
Is Tazara Railway,, Meter-Gauge or Standard Gauge?
 
Back
Top Bottom