Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuongeza ubusy wa JNIA serikali ikubali ku upgrade sadani national park,selou na mafia,ila nasikia serikali haitaki ili kulinda blue safari ya znz,halafu kwenye muungano utalii kila mtu kivyake
Hivi ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Sadani-Pangani-Tanga umeishia wapi? Hapo kati niliona wameweka tena jiwe la msingi kwa mbwembwe,ujenzi umefikia wapi?
ichoboy01
 
Wacha ujinga. This is Nairobi vs Dar.. Not campaign material.
You are a one party state. We have nothing to learn from you... ZERO
Mko pale tulikuwa 1980.

In the whole world, bongolalas are the only people in love with their oppressors.
 
Kwahiyo wewe unajipa cheo cha monitor wa JF? Stupid Kundudweller
 
Hiki ninachokiweka humu watu wengi sana kinawaumiza Adui wa Serikali ya Tanzania bado wapo hai. MUngu wa mbinguni atawapatia adhabu

Hivi ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Sadani-Pangani-Tanga umeishia wapi? Hapo kati niliona wameweka tena jiwe la msingi kwa mbwembwe,ujenzi umefikia wapi?
ichoboy01
so far sina any update ila kama ujenzi ungekua unaendelea lazma updates zingekuwepo siunajua awamu hii ilivokua na mbwembwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ungeona picha nyingi sana na sifa kibao
 
Wakiweka Nchi inayopokea flights Nyingi ( Zanzibar na Dar zitafanya Tanzania iwe na flights 176 na kumfukuza Mkundustan hiyo namba aliyopo na kudidimia Chini hadi eneo linalofanana na Jina lake πŸ˜‚
Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…