mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Sisi tuna I.think ..4 na nyieWeka over 30F
Hizo over 20 tumeachia wadogo sasa hivi tunaongelea over 30F.
Sisi tuna I.think ..4 na nyieWeka over 30F
Hizo over 20 tumeachia wadogo sasa hivi tunaongelea over 30F.
Nakuru watoe wap?weka apa wacha maneno mengiIiii ata Nakuru iko....eka underchanges
ndo tatizo lako, unatumia akili ya kawaida! Tumia akili ya shule!!Af eti kwa akili ya kawaida TPA ambalo ni 40 lizidiwe na UAP ambalo ni 33 kweli????
Vi2 tumezoea msa mnatuekea yannMasaki
![]()
Unafikiri Kenya ni nairobiNakuru watoe wap?weka apa wacha maneno mengi
Akili ya shule ni kuandika uongo??ndo tatizo lako, unatumia akili ya kawaida! Tumia akili ya shule!!
This is not btn dar vs mombasa anyway....Vi2 tumezoea msa mnatuekea yann
Prism uap britam timer tower.na nyie....weka majina yake hapa
Premier location, tunasubili povu upande wa pili?Masaki
![]()
Msa imekujaje sasa hapaVi2 tumezoea msa mnatuekea yann
The Nakuru Fly over at section 58 under construction. Vehicles headed to and from Nairobi will use the bridge while those headed to Nyahururu will pass under. [HASHTAG]#nakuru[/HASHTAG] [HASHTAG]#lanet[/HASHTAG] [HASHTAG]#lakenakuru[/HASHTAG]
Wow , I thought somewhere in Rio de JaneiroMasaki
![]()
TunaTaka.vi2 unique.c.baharI na msa kunayoMsa imekujaje sasa hapa
Uwe serious basi hata kidogo yaani Nairobi ipo empty kabisa vighorofa vya kuhesabuJamaa analinganisha
![]()
na
![]()
Kisha anona amefanya cha maana. Hehehe. Dude, That is just Upper hill na bado imenyorosha io CBD yenu mzuri. Sasa tukiongeza kina westy, Town, Ngara, ABC, Kilimani si kutaharibika
From MNF Tower by indaressalaam, on Flickr
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam by indaressalaam, on FlickrAkili ya shule ninayoongelea ni kuwa kunauwezekano ghorofa 33 ikaizidi ghorofa 40 kwa urefu. Shule itakusaidia kuelewa hii inawezekenajeAkili ya shule ni kuandika uongo??