President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Anayekufa mtu siyo utawala. Kwikwikwikwi naona unaandika kwa hisia kali sana. Ondoa ujinga kichwani utakuwa huru. Na usiweke matumaini kwa mtu.Na wenyewe huwa WANAKUFA
Mimi ma Ummy wapi na wapi??Anayekufa mtu siyo utawala. Kwikwikwikwi naona unaandika kwa hisia kali sana. Ondoa ujinga kichwani utakuwa huru. Na usiweke matumaini kwa mtu.
Ona sasa uliweka matumaini kwa Ummy Mwalimu amekatwa umebaki kuweweseka tu kama mwehu. Kwikwikwikwikwi
Unapoteza muda tu kuna watu inatakiwa uwajue itikadi zaoMjinga mwenyewe na familia yako,nilichokisema ndio kipo afrika
Hoja zote hizi tulikuwa tuna muongelea Ummy Mwalimu kukatwa na sababu za kukatwa kwake kaka. Usiikimbie hojaMimi ma Ummy wapi na wapi??
Hapa nasemea UHAI.
Kuwa hata wewe UTAKUFA
Mzee wa dry port kwikwikwikwi wote nitawakusanya tu. Mnajifanya watanzania kumbe ni wakenya kwikwikwikwikwi leo accounts zenu zote zimejionesha.Unapoteza muda tu kuna watu inatakiwa uwajue itikadi zao
You are hating your own just because unadhani hio picha ilikua Kenya yet ni ya kwenu bongoslum. Hypocrites, hakuna wanafiki wakubwa kama bongoalalas. 🤣 🤣 🤣The lady isn't attractive and the outfit is as horrible as Kibera slum.
Kenyans, hata mavazi mazuri hamuwezi design?
nairobae
Ile opening ceremony yenye mashabiki hata hawakufika 2000??Why opening ceremony was beautiful than final?
Sawa bongolala...mjinga mpe cheoNimekutumia picha hapo. Zote hizo everyone says this was beyond normal
Huwa sisumbuani na chawaMzee wa dry port kwikwikwikwi wote nitawakusanya tu. Mnajifanya watanzania kumbe ni wakenya kwikwikwikwikwi leo accounts zenu zote zimejionesha.
Leteni accounts zote tuzijue.
She came to in Kenya first before heading south
View: https://x.com/SafariGateway_/status/1961713738374959237?t=tIjGEHiHe1tPKcBhkCmkjA&s=19
Priyanka kumbe alikuwepo TZ kula bata kidogo
Umenimbusha Ahmadinejad, aliposhindwa uchaguzi akajirudia zake kufundisha chuo, japo kuwa na yeye alipenda nepotism.Acha kutafuta kichaka cha kujifichia,ukweli ndio huo,na shida inaanzia viongozi wa kiafrika kwao siasa ni ajira,ndio maana hata wanapofanya makosa awajiuzulu,na hata utakuta kiongozi anamuandaa mwanae aje kuwa kiongozi,demokrasi ya kweli hamna na ndio maana hawana hofu ya wapiga kura,hali hiyo ndio inafanya bara letu liwe kituko pa1 na rasilimali zote
Wamepeleka majeshi Haiti!Weak Country inagongwa na South Sudan Kwikwikwikwikwi
View: https://x.com/vinguard254/status/1961656899641720882?t=I2k_2eGh9X8VwW6dRRCXKQ&s=19
Uwezo wako upo chini ya kiwango. Wewe nilishakuzika muda sanaHuwa sisumbuani na chawa
Nakukumbusha kuwa UTAKUFAHoja zote hizi tulikuwa tuna muongelea Ummy Mwalimu kukatwa na sababu za kukatwa kwake kaka. Usiikimbie hoja
Na wewe pia.Nakukumbusha kuwa UTAKUFA
Hahaa uzuri Kila mtu anakuja ulivyo kilaza🤣🤣🤣🤣Uwezo wako upo chini ya kiwango. Wewe nilishakuzika muda sana
I agree.Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness ya wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni hii trickle down economics.