Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Underpass pia inawezekana. Tena ni rahisi zaidi. Mbona reli inapita chini
Nafasi haitoshi. Hio ndio ngumu zaidi. Hio ya reli ni kama mtaro tu from one side to the other. Hapo kuweka underpass itabidi ianzie kabla ya flyover yaani quality plaza halafu itokee mnazi mmoja maanake juu kuna vitu vingine.
 
@ichoboy01 yupo Nairobi now and we all see what’s happening.
Who told you ichoboy01 is in Nairobi? The guy is just hiding somewhere in Dar is slum searching for pictures from Twitter. Every picture huyo mkimbizi amepost hapa I can show you the tweet penye ameitoa. Nyinyi hamnanga originality.

Now back to Opanga Vs Nairobi neighbourhoods. To be sincere I can only compare Opanga Vs Roysambu, hiyo ndio Level yake.
 
Unajenga kuelekea Kurasini
Maybe. Lakini busy road hapo ni Nyerere. Ina maana still itabaki chini na magari yatasubiriana njia nne Tena. Utaondoa foleni ya kutoka Kariakoo kuelekea Kurasini ya airport/city centre bado shida iko pale pale. Na usisahau viaduct inapita over Msimbazi road pia hio flyover itaanzia wapi na itabidi ipite juu ya viaduct. I don't know.
 
Hii barabara hata haiwezifikia Ngong' Road, sijui unapata ujeuri wapi WA kuilinganisha na Thika Road?
 
Buy Kenya Build Kenya.

Another one built in Kenya by Kenyans for Kenyans.


The days when Tanzanians used to laugh at Kenyan buses are gone, they are now admiring the beauty of Kenyan buses and also buying from us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…