Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂
The irony is mechi zote either mnavamia uwanja kuingia bure, wanasiasa kugawa tiketi kwa mafungu.

Then mlipoona CAF wamechachamaa kufunga screen (Watu kuona bure)

And you here saying money money wakati it's screaming umasikini tupu, cause there no relevant previous evidence to support your claim.

Kenge mwenyewe unashangaa hadi sprinklers unajiita una hela 😂😂😂
Yaan hawajawahi hata kufikisha 10mil ya makusanyo kwa mechi yoyote Toka Dunia iumbwe kwa mechi za kawaida wanataka kujilinganisha na timu ambayo kukusanywa 20mil ksh ni kawaida sana
 
Ju article ndio hufanya ranking. 🤣🤣 Oneni pumbavu, ranking inatoka Kwa calculated data.
We matako unazijua criteria za first world country!??
1.Human development index China ipo juu.
2. Purchasing power parity China ndio inaongoza.
3. China ina higher per Capita income.
4. China ina higher GNP na GDP.
5. Second largest economy in terms of GNP and GDP.

Nikupe swali la mwisho,unaweza kunieleza kwanini USA na EU walipiga kura kuitaka China itoke kwenye developing countries list!??
Nijibu hilo swali.
 
Hii ndio kitu hua tunaita opinion na kila mtu ana yake. Sasa leta data kutoka credible sources Wacha emotions za ushenzi.
We matako umesoma hiyo article vizuri?
Inamaana wanauchumi wa kimataifa waliopiga chapuo kuwa China iwe developed country wanaendeshwa kwa self-opinions!?
Hivi unajielewa wewe kweli!?
 
Ni wapi kwa hii article imesema China is a developed country? Highlight sahii nione.
Soma vizuri una akili wewe usijitoe akili.
Au labda nikuulize swali dogo, kwanini wanauchumi wa kimataifa wanapigia chapuo China kutolewa kwenye list ya developing countries!??
Naomba unipe jibu.
 
No wonder hakukuwa na creativity pale, I was wondering why Gor wamecopy jersey ya Nigeria kumbe ni Mtanzania ndio alipewa tender🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 Ila umesema inauzwa bei ghali eeeh! Kwani kabla creativity ilikua wapi si mlikua mnaenda kununua just regular jersey mnapachika logo kwisha.
 
😂😂😂😂😂 Ila umesema inauzwa bei ghali eeeh! Kwani kabla creativity ilikua wapi si mlikua mnaenda kununua just regular jersey mnapachika logo kwisha.
All Gor Mahia Jersey are always expensive kuanzia kitambo. Na hakuna timunya Tanzania can compete with Gor in terms of Jerseys.
 
She could not get better treatment in Tanzania, that's the truth of the matter.
1000114605.jpg

Full of fake hospital

eti wana health system bora😂😂😂😂

View: https://x.com/sholard_mancity/status/1959299035594109007?s=46





County nzima inatibiwa TZ

1000146345.jpg

1000146346.jpg
 
Back
Top Bottom