Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jersey za kuprintiwa china na hakuna designer anayejulikana, huwa zinaletwa bila logo then zinapachikwa na ndo maana zinauzwa 2500 kabla ya printing

rse
Tusker FC jerseys are more expensive than Jerseys za any team in Tanzania.
 
No wonder hakukuwa na creativity pale, I was wondering why Gor wamecopy jersey ya Nigeria kumbe ni Mtanzania ndio alipewa tender🤣🤣🤣
Screenshot_20250629-104224.png
Screenshot_20250629-104238.png

Maku maumivu yakizidi kachambie pilipili
 
Na bado unashindwa kulipa salary hata ya 500,000 ksh kwa wachezaji wake 🤣🤣🤣🤣🤣 unazidiwa na singida united
Na Zinakuwa printed china bila logo
Leta evidence kwamba hizo Jersey za Tusker zimekuwa printed china bila logo.
 
sasa leta mauzo kondoo wewe ukipata mauzo yamefika 1000 unitag nifunge acc sasa hvi 😂😂😂😂😂 kumbe bado tuko 2024 nilikua sijui haya asante
Utalia Hadi lini wewe mkimbizi? After kupata Gor Jerseys are more expensive than Jerseys za all Tanzanian teams imeanza kulia sasa.
 
Back
Top Bottom