ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hata 5000ksh hakuna mtu ataingia 😂😂Waambieni tu kuwa 600,000 ni sawa na 30,000 ksh
Natamani nione ya gor mahia kama wanaweza kutoa hata vip ya 12,000ksh
hata 5000ksh hakuna mtu ataingia 😂😂Waambieni tu kuwa 600,000 ni sawa na 30,000 ksh
Natamani nione ya gor mahia kama wanaweza kutoa hata vip ya 12,000ksh
Wewe ndio unaamua which countries are developed. Unafanya kazi ya kuosha choo IMF ama? 🤣 🤣Nani kakwambia China ni developing country!?
😂😂😂😂 makalio wewe China ni developed country.
Somalia ni developing country mbona haiishi kama mnavyoishi nyie Kunyans!?
Wewe ndio unaamua which countries are developed. Unafanya kazi ya kuosha choo IMF ama? 🤣 🤣
View: https://www.instagram.com/p/DEVAZofsmq7/?utm_source=ig_web_copy_link
Yaan walivyokuwa wanajisifia kwa 200ksh Kumbe ni buku 5 tu.hata 5000ksh hakuna mtu ataingia 😂😂
🤣 🤣 🤣 Watu wa informal economy hata hosting ya CHAN pekee ilishawaexpose.
View: https://x.com/NchiYanguNzuri/status/1959202629709664502
Wewe ndio pumbavu, ndio maana siwezi kuquote.yaaani ulivyo desperado unaquote mpaka wapumbavu for validation. 🚮
Yaani hamna mradi wowote wa maana wa kiuchumi zaidi ya hivi vighorofa na uwanja wa Talanta. Huu mradi ukikamilika na Talanta utatoa ajira kiasi gani na utachochea uchumi vipi🚮Kisumu housing project.
This is called Lumumba affordable housing.
View attachment 3450500
Anderson Affordable Housing
View attachment 3450537
Average for HDI, WB and IMF ni data uchwara according to you? Wacha kutumia emotions kubishana.Unaleta data uchwara!?
Ona hii ng'ombe.
Wewe ndio unaamua which countries are developed. Unafanya kazi ya kuosha choo IMF ama? 🤣 🤣
View: https://www.instagram.com/p/DEVAZofsmq7/?utm_source=ig_web_copy_link
Nishakuwekea article kule kasome.Average for HDI, WB and IMF ni data uchwara according to you? Wacha kutumia emotions kubishana.
Ju article ndio hufanya ranking. 🤣🤣 Oneni pumbavu, ranking inatoka Kwa calculated data.Nishakuwekea article kule kasome.
Kwanini China ipo kwenye list ya developing ilhali imevuka criteria zote.
Shida mnakariri tu kama mang'ombe.
China imejilazimisha kuwepo humo kwaajili ya kupata favor ya WTO katika biashara kimataifa.
Hii ndio kitu hua tunaita opinion na kila mtu ana yake. Sasa leta data kutoka credible sources Wacha emotions za ushenzi.Wenzako wanajiweka developing country list kilazima ili kupata favor ya World Trade organization.
Ila China Ina all criterias of developed country.
Wacha kukariri kama ng'ombe.
Embu soma hapo chini.
USA walishaitisha kura kwaajili ya kuitoa China kwenye list ya developing countries.
Maana imeshavuka criterias zote.View attachment 3450680View attachment 3450681View attachment 3450683
Ni wapi kwa hii article imesema China is a developed country? Highlight sahii nione.Wenzako wanajiweka developing country list kilazima ili kupata favor ya World Trade organization.
Ila China Ina all criterias of developed country.
Wacha kukariri kama ng'ombe.
Embu soma hapo chini.
USA walishaitisha kura kwaajili ya kuitoa China kwenye list ya developing countries.
Maana imeshavuka criterias zote.View attachment 3450680View attachment 3450681View attachment 3450683
jezi ya gor mahia inauzwa bei gani 😂😂
pale gikomba wanauza 150bob 😂😂😂
View: https://x.com/youngafricanssc/status/1959310409124475172?s=46