ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
zikwapi mega projects ???? hebu taja leo tuzisikie naskia unajitapa muna mega project kuliko tanzania sasa tutajie moja baada ya moja ili twende sawaNilikuambia kitaaaambo uweke a 12 lane highway atakama ni 200metres ukaweweseka. sasa weka wenzao waone ukweli pia.