ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwahiyo ni kipi unacholalamikia hapa. Je, tumewapunja kusema population ni 700,000. Basi nakubaliana na wewe ili tuishie hapa kwamba kibera population ni 2.5m. Researchers wamefanya yaoWewe wacha kujifanya mjuaji. ile picha ya awali uliyoleta hapo juu ilionyesha kwamba kibera ina wakazi laki saba. iweje tena leo haina watu 2.5 million as you people have always said? here on jf? swali rahisi sana wacha kutapatapa. Nangojea jibu lako
alaf makuru kayaba ni 700k people so jumlisha 2.5m+ 700K na hizo ni slum mbili bado ziko karibuni 40Kwahiyo ni kipi unacholalamikia hapa. Je, tumewapunja kusema population ni 700,000. Basi nakubaliana na wewe ili tuishie hapa kwamba kibera population ni 2.5m. Researchers wamefanya yao
Some facts and stats about Kibera, Kenya | Kibera UK
Pinnacle wameanza kuchimba foundation May 2017.miaka 5 pinnacle hata tofali la kusingizia halipo😀😀
huku montave bado wanakata nyasi😛😛😛
Ziko ngapi kama sio 13?Nonsense as usual
2020 bado kufika. so wassup?
1.pspf tower A 35flrUkweli wa Dar slum kuwa a big slum unadhihirishwa na the number of buildings above 20 floors being only 13 in number
The good thing we will be here when montave ( which now is already sold out even before construction has began) and pinnacle ( whose 45 floor is already sold out to hilton hotels chain even before construction has began) and even cytonn towers will officialy be completed and opened. We shall see who will have the last laughmiaka 5 pinnacle hata tofali la kusingizia halipo😀😀
huku montave bado wanakata nyasi😛😛😛
Umeanza kuishiwa...we don't need to see ur relatives here show us buildings ,roads ,malls nkGlen Washington on top of The KICC Tower
View attachment 663542
hili swali uliza contractor wa hilo jengoSasa kama kuchimba wameanza mwaka huu huoni wako nyuma ya time? Hahahaha. Mbona unajichanganya mwenyewe!!?
Cool pic....hukuti mtu akisema vibaya but nyie kusifu vitu vya Dar mnahisi mtapata low bp. ...KICC Tower, Nairobi
View attachment 663548
ahaa. so wewe ndio unanipangia ni kipi cha kupost humu ndani, sio?Umeanza kuishiwa...we don't need to see ur relatives here show us buildings ,roads ,malls nk
Panic at ur own riskahaa. so wewe ndio unanipangia ni kipi cha kupost humu ndani, sio?
Nakupa list niliyonayo kwa karibu kwa sasa:-Ziko ngapi kama sio 13?
ding it .
# Name Image City Height (≈ m) Floors Year
1 PSPF Commercial Twin Towers Dar es Salaam 152.80 35 2014
2 Tanzania Ports Authority Tower Dar es Salaam 134 35 2015
3 Rita Tower Dar es Salaam 115 30 2013
4 Uhuru Heights Dar es Salaam 103 27 2012
5 Millennium Tower Dar es Salaam 103 30 2014
6 Umoja wa Vijana Towers Dar es Salaam 102.5 25 2012
7 PSPF Golden Jubilee House Dar es Salaam 92 24 2011
8 Quality Boulevard Dar es Salaam 84 22
9 IT Plaza Dar es Salaam 84 22
10 Viva Towers Dar es Salaam 80 21 2012
11 Benjamin William Mkapa Pensions Tower Dar es Salaam 80 21 2014
12 Ushirika Tower Dar es Salaam 76 20 2014?
13 Bank of Tanzania Twin Towers Dar es Salaam 76 20 2006