Serengeti huko kuna gari za utalii nyingi mno mpaka inashauriwa serikali iweke limit ya magari mbugani,serengeti ni full watalii,bado tarangire,ngorongoro,mikumi,znz nk,kidata lakini nyang'au lazima watupiteWakundustan wanazidi kukimbiwa, nakumbuka the entire coast tourism belt of Kunyaland ilikua dominated na Italians, most properties were owned by the Italian tycoons lakini now all abandoned, cha ajabu utashangaa watafake data waoneshe walipokea watalii wengi na mapato mengi
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1954464966162977093?t=_sNzpYFaOvke3QyRs49Zwg&s=19
Hao watalii watakua wazembe nao wao,france air now inatua znz na kia,klm inatua dar,znz na kia,soon british air nao watarudi TZNamba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.
Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.
Wakishawabeba wanawashushia JKIA.
Ndio maana huwa wanalia tukipiga marufuku KQ kutua TZ, au kuja na magari yao TZ.
Watalii wengi ni wavivu, wanataka kila kitu timilifu.Hao watalii watakua wazembe nao wao,france air now inatua znz na kia,klm inatua dar,znz na kia,soon british air nao watarudi TZ
Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,UNION MEAT GROUP - Tunakula nyama za Maana. Wakenya wanakula Mutura
View attachment 3439072
View attachment 3439074
Idumu ban ya maumivu dhidi ya Wakundustani milele na milele!Namba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.
Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.
Wakishawabeba wanawashushia JKIA.
Ndio maana huwa wanalia tukipiga marufuku KQ kutua TZ, au kuja na magari yao TZ.
Watu watakucheka sana. Kijana π€£ π€£ π€£ π€£Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,
Kenya meat commission abatuer.,
View attachment 3439160
View attachment 3439161