NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,004
- 19,173
Maana yake nini?Mbona unaumwa na jina ni langu hilo Magonjwa Mtambuka 😎
Maana yake nini?Mbona unaumwa na jina ni langu hilo Magonjwa Mtambuka 😎
Naumia vipi wakati Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata ikiwa na point 9!Umia polepole kijana. 🤣 🤣
Meza wembe ufeHawa waarabu wameniudhi sana leo😎😎
Maana yake ni nanhii😂Maana yake nini?
This is football. The atmosphere is electric. Wakenya wanajua kushangilia, hata after CAF banned celebration items bado tumesababisha. Bongolala wakicheza utadhani ni mazishi.🤣🤣🤣
View: https://x.com/fufatv1/status/1954540633063903680?t=2RrGSXVyaG-wgCXStbJe4Q&s=19
Sifi.Meza wembe ufe
Excuses.Hiyo Morocco uliyoifunga leo ikiwa na wachezaji wa ndani sisi tumecheza nayo sana ikiwa na international players na haikufua dafu zaidi ya kusare.
Jipangeni kufikia Tanzania bado wacheni kuota ndoto za mchana.
Tumia Kiswahili mbwa. 😄🤣Since KENYA is a very corrupt country, a tempted to think that they may have bribed the Moroccan team coach. Ruto is not some you can trust when it comes to giving illegal incentive 🤣🤣🤣
Tuliza kende basiSifi.
Aliyeua simba na aliyeua swara wote wawindaji ila atakayeheshimiwa unamjua. 🤣 🤣Naumia vipi wakati Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata ikiwa na point 9!
Pengine muwatambie somalia huko.
Tanzanians can't match this atmosphere.
View: https://x.com/Osama_otero/status/1954545911448608898?t=qlwlrDy8_YjoHDoBA1cJCw&s=19
Kwa nini?Tuliza kende basi
Mechi 3Aliyeua simba na aliyeua swara wote wawindaji ila atakayeheshimiwa unamjua. 🤣 🤣
Bradhee, nini unapingana sasa. 🤣 🤣Soma hiyo ripoti halafu urudi hapa.
View attachment 3437653
Qualification matches ni sawa na preliminary stage matches kutafuta timu za kuingia kwenye hatua ya makundi.
Nazo zinajumlishwa kama mechi za hayo mashindano.View attachment 3437653
Kenyans have come up with a new motto 😂😂🤣👇👇
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1954544654705177007?t=gWN0M4_C9OIrO2ZhBXV_4A&s=19
Tickets were sold out days before the match, Usiwe mjinga wewe jibaba jizee.Kumbuka half of those fans wameruka ukuta!
Hiyo pesa ndogo sana kwa Wachezaji TZ.Mbona msiaidi wenu 1M ya madafu? Si huwa mnajiita matajiri wa Istiafirika? 🤣 🤣