Shida ni altenative😂😂😂😂😂 shida yetu sisi hatupendi ukweli ila kagoma ni mchezaji wa kawaida sana tena ni no 6 wale wakizamani wakuingia uvunguni muda wote
no6 wa kisasa mtazame mtu kama duke abuya au aucho au camara yule wa barkane

yani kwa uchezaji wa kagoma alaf VAR is there bro huyu jamaa atakula umeme wakutosha sana 😂😂😂Shida ni altenative
KTN wanaishangaa benjamin mkapa how modern stadium ilivyo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://youtu.be/MwoQr6cwQfs?si=uFDjd1OuGTPoE23D
And they are so young, not baboons za 28yrs!!!Since according to Bongolalas, statistics win matches, hereby is the 115th FIFA ranked team dominating you and almost kicking your ass ..😁😁
View attachment 3436997
Poverty and poor infrastructure kutoka ndani ya unplanned settlements especially usiku ndiyo lawama hapa 😂😂😂
Ilebya kukwama kwamba ama kuna nyingine?Lamu has a 3 berths with Quay Length of 1200m
Mtwara has 2 berths with Quay length of 685meters
Tanga is smaller than Mtwara with 2 berth Quay of 450m
Mtwara in Ship to Shore Crane moja
Tanga is still undergoing major expansion kupokea meli za mafuta
Mtwara will get a another new berth that will be used specfic for Coal handling
Mmetangulia kwa Lamu kuwa na 400m per berth expect Bagamoyo to do that soon it is poised to have bigger berths than Dar or Mtwara
Si unaona SGR mlitangulia ila yetu ni bora zaidi
Something like this imeshinda tu watanzania kabisa.
View: https://x.com/kevo_atandi/status/1954494705271460279
Something like this imeshinda tu watanzania kabisa.
View: https://x.com/kevo_atandi/status/1954494705271460279
Sio lafudhi tu, hata Kiswahili hajui.Mtu anaongea kama lafudhi ya Kenya ila anafosiwa kusema MTz
Something like this imeshinda tu watanzania kabisa.
View: https://x.com/kevo_atandi/status/1954494705271460279