NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,337
- 19,724
Hii ni kama kusema you are good in athletics then during competitions unasema sisi ni wanariadha wetu wanazingua.😂Sisi ni timu za taifa zinazingua hasa kipindi hiki cha Wallave Karia na makocha wake was*ng*!
Nini kinathibitisha hapo ni Mwanza?We are halfway there. Nyinyi mko wapi?
Ona Mwanza your second biggest city bado kuna main road za vumbi. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1953401668688642160?t=1TrZLkEFebN61ciY8pVZXw&s=19
Ruto kishatembeza pesa hapo kwa waamuziRefa ni ovyooo
Sasa hiyo si diversion ya Barabara.We are halfway there. Nyinyi mko wapi?
Ona Mwanza your second biggest city bado kuna main road za vumbi. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1953401668688642160?t=1TrZLkEFebN61ciY8pVZXw&s=19
Ni Mwanza hapo Mkuyuni.Nini kinathibitisha hapo ni Mwanza?
Leo uko 🔥… 🤣🤣…umemurder wazee wa B hara T .. Have mercy please..🤣🤣🤣Ohhhh sijui tukona BRT, tukona stadiums, tukona fans, we will host the best tournament. 🤣 🤣 🤣 Kwa ground mambo ni different, hawana hata 50 bob ya kuwatch games. Huko bongoslum hata travelling fans hawako.
100%Ni Mwanza hapo Mkuyuni.
Na hio Barabara ni diversion.
Wako wanajenga upya Barabara kuu ya kuingia Mwanza karibu na SGR viaduct
I was so embarrassed I offered to help…offer still stands..😁😁😁Makwapa mashibiki walikosa 50 bob 🤣
Those stats are understable in football when you are playing with a man down for 70 minutes and still hold your opponent to a draw. Ingekuwa ni nyinyi sijui mngelimwa mabao ngapi!Kwa hizi stats wangekuwa wanajua Mpira wangenyamaza tu kwa aibu, bahati mbaya hawajui mpira ndio maana kelele ni nyingi humu.
Noma sana. 😂😂😂
View attachment 3435380
Mashabiki wenyewe ndio hawa sasa viti vya kijani kibichiHivi mnuka mavi mnamuelewa lkn? Ameshaona hawawezi kutoboa now kabadili uelekeo, ameanza kuongelea mambo ya mashabiki ili wakitoka apate Ku shift goal post, sasa Tz ya kufananisha na Kenya kweli kwa upande wa mashabiki? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?Unadhani upper middle income ni sawa na githeri ya hapo Mukuru kwa Reuben!?
Malizeni umasikini wa Kenya kwanza kabla hamjawaza mbali.
Kwamba barabara sio muhimu kwa mtanzania? Mnapenda sana kujifariji mapungufu yenu yakiwekwa waziWakati ninyi mnashikilia vitu visivyorudisha faida kwa raia Tanzania tunawekeza kwa raia Moja kwa moja.
Miundombinu ya maji, miundombinu ya kilimo, miundombinu ya kadha wa kadha.
Sasa sijui hao maskini wenu wa Mukuru watakula barabara!?
Wakati raia wenu wanalilia ukosevu wa ajira Tanzania inatoa mikopo isiyo na riba kupitia halmashauri zake ili kuinua vijana.
Ninyi endeleeni na umbugila tope wa barabara na flyover.
Kama kawaida Republic of Talkovia aka Mouthnationa Republic, Kundustan taarifa imeandikwa 2020 sasa hivi tunaingia 2026 huoni kuwa wewe ni mwehu?Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=vuqzkV1WCE6YlUQ1DVGH5w&s=19
Tuletee ya 2025 inayosema tofautiKama kawaida Republic of Talkovia aka Mouthnationa Republic, Kundustan taarifa imeandikwa 2020 sasa hivi tunaingia 2026 huoni kuwa wewe ni mwehu?
Hiyo ni kazi yako Nicxie vipi huko Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic, kundustan mnaendeleaje na njaa?Tuletee ya 2025 inayosema tofauti
Hapa CAF imeonea hawa Jamaa😂😂😂.
Fine ni ya nini when they fans didn't even show up for the game😂😂🤣
View: https://x.com/CliveKyazze/status/1953516185842332108?t=_1uPrB7rBhqHtvAy9cQGFA&s=19