Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo yatakuwa fire kwa Angola second half! Hzi nyang'au zinatakiwa kuendelea na riadha tu kule Kipchoge stadium! Ndio mchezo wamespecialize😃😃
 
Enyewe Kenya ndio the real hosts wa hii tournament, stadiums zinajaa, hype is real, hadi hapa bongolalas are busy hate watching. 🤣🤣

Mlicheza jana, your stadium was empty, hata hii thread haikua active. 🤣🤣🤣
 
Taifa stars is sure of winning the group matches so ahitaji booster ya fans kupiga makelele uwanjani😃😃😃
 
Umeona picha aliyoleta mwenzio!?
Yani unafananishaje satellite image na ground image!?
Mbugila tope kweli huyu!
Kachukue picha aliyoleta mwenzio utuoneshe Kariakoo iko wapi.
Picha ni mimi nilileta na ndio hii hapa kijana wa Tandale
moizhusein_1642362358564836.jpg
 
Kwamba huoni TPA kwenye hiyo picha ama ndio kujifanya kipofu?
TPA ndio Kariakoo!?
😂😂😂Pia unajua umbali wa kutoka TPA hadi Makumbusho ni kilometa ngapi!?
TPA ni Posta kivukoni na ni one-way kuelekea Makumbusho.
Hakuna Kariakoo kwenye hiyo picha.
 
TPA ndio Kariakoo!?
😂😂😂Pia unajua umbali wa kutoka TPA hadi Makumbusho ni kilometa ngapi!?
TPA ni Posta kivukoni na ni one-way kuelekea Makumbusho.
Hakuna Kariakoo kwenye hiyo picha.
Bongolala, TPA na Kariakoo is one and the same place. Usituone sisi ni wajinga
Dofoto_20250807_144952420.jpg
 
Back
Top Bottom