Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hizi akili zako za kiboya ukiona hii👇👇 taarifa ya South Africa kushindwa kulipa workers wa Municipalities utajidanganya eti Tanzania ni Bora zaidi ya SA the current Africa's biggest economy.., jaribu kujifunza mambo ya finance angalau kidogo.., sio kukurupuka kishamba🤣🤣🤣🤣🤣.,

Tanzania imeizidi SA🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250806-160204.jpg
 
Your source is tomato sauce. World Bank wanasema bongoslum ni 70%

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

uko tayar kufa njaa ili kuficha aibu yako
 
World Bank wanasema 70% of bongoslum urban population live in slums, among the highest in the world. Munapenda sana kuishi in denial.

WB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki 😆, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

uko tayar kufa njaa ili kuficha aibu yako
Unabishana na World Bank. Huna hata aibu. 🤣🤣 70% among the top ten in the world.
 
kila sector kuna shida yani hakuna sehem wako stable na nimeskia wameanza kuingia kwenye njaa😂😂😂😂
Unaijua Tanzania kweli wewe?.., just because information is hidden haimaniishi mko nafuu, mko hovyo ata kuliko Uganda.., your government controls information like North Korea.., matokeo ni muonekano ya maisha ya Watanzania.., uswazi 90%..,
 
WB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki 😆, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., 🤣🤣🤣🤣
Bongolalas are loud untill you show them real data. 🤣🤣🤣
 
World Bank wanasema 70% of bongoslum urban population live in slums, among the highest in the world. Munapenda sana kuishi in denial.

I thought you were kidding😂😂😂🤣🤣.

70% of Tanzanian urban population lives in Slum compared to 40% ya Kenya, hii ni majabu😂😂😂😂

IMG_1568.png
 
Bongolalas are loud untill you show them real data. 🤣🤣🤣
Watajitetea, facts ni dawa ya mtanzania., watabisha hadi basi🤣🤣🤣🤣., but it agrees with reality kwa ground., ata muonekano ya Dar is clearly 80-90% ghetto!.
 
Unaijua Tanzania kweli wewe?.., just because information is hidden haimaniishi mko nafuu, mko hovyo ata kuliko Uganda.., your government controls information like North Korea.., matokeo ni muonekano ya maisha ya Watanzania.., uswazi 90%..,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

unajua kitu hua kinanifanya niskie raha ni vile nikiwaona mukitapatapa
 
Back
Top Bottom