mbona hamja react sasa wenzenu wote wamenyamaza si uganda si rwanda na burundi isipokua nyinyi munaojifanya muna nyege sana 😂😂😂😂We chizi kwani umebaki ukijiongelesha, hamna reaction yeyote kwenye hizi twits zako
midomo wakat kila siku tunawapakata kwenye kila sector 😂😂😂Watanzania tu ni domo domo wanajua, lakini reality...
😂😂😂baada ya bamburi sasa ni zamu ya east africa portland 😂😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DM-IsiNtOsM/?igsh=cGVnbXdqeWdiZ3Z2
Nchi inatumia LIPA NUMBER.midomo wakat kila siku tunawapakata kwenye kila sector 😂😂😂
haya ndio mambo hua munafurahia wajinga nyinyi kila siku wanaokula pesa zenu ni wale wale
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1952935158954258808?s=46
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1952942712526614566?s=46
wakenya ni wendawazimu mtu ananunua kiwanda cha pili billions of money alaf wanafananisha na small business 😂😂😂
Nchi inatumia LIPA NUMBER.
Halafu utasikia, We are tech country of Africa.
Yearly gate revenue ya Shabana is bigger than ya Simba na Yanga. Yanga collects an average of Ksh 700,000 per home game while Shabana does more than Ksh1.5M week in week out.Uhalisia wa mashabiki unaonekana kwenye makusanyo ya getini.
Unaweza kutuletea mechi yoyote iliyofanyika Kenya mkafikisha hata ksh 10mil for the past 20 years?
We've chosen ParklandsKwahiyo sasa msimamo wako ni upi.? Mombasa ni bora kuliko Dar au Westlands ni bora kuliko Dar.? Mana ni kama Dar moja unajaribu kujilinganisha na kila aina ya ushuzi huko kunyarenda, choose your battles wisely. 😆
Eti pipeline ni slum? What then will we call Mburahati, Kigogo, Chang'ombe na maeneno mengine mengi?Yan huyo atabisha hata kwa kuleta picha za miaka 50 iliyopita ili aifurahishe nafsi yake tu,ila kimoyo moyo ukweli anaujua,then asituchanganye naislum,slum si pipeline tu
Mzee wa kukaza fuvuYearly gate revenue ya Shabana is bigger than ya Simba na Yanga. Yanga collects an average of Ksh 700,000 per home game while Shabana does more than Ksh1.5M week in week out.
Unafikiri serikali yetu inanunua tiketi kama serikali ya Kenya.Why is Aman stadium empty? Hamna hamsini ya kuwatch game?
And so is Kibera et al