Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao achana nao, mwenzake nilimletea utofauti wa N-card na ATM card akadakia kusema N-card ni brand name.
Mbugila vumbi mwingine huyu huku anasema Skd ni process badala ya bidhaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Kenya elimu ni mtihani sana.
hawaelewi maana ya complete knocked down na semi knocked down parts.
 
Bora yule anayepaste anakuwa na ufahamu wa hicho kitu kuliko anayeabika kama wewe
Umeshindwa kuuliza Google kama SKD is an assembly or not? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kupaste sio shida lakini you need to understand what your are copy pasting.
 
SKD assembly is the process, product inaitwa an SKD unit. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Bongoslum kila mtu ni primary school dropout, you can't comprehend basic English.
Acha ujinga wewe SKD maana yake ni semi knocked down parts ambazo huunganishwa na parts nyingine kwenye assembly line kutengeneza a product while CKD ni complete knocked down parts zote zina tozwa kodi tofauti wakati wa uingizwaji nchini.
 
Kwahiyo hapo kimoja kimoja ni assembling kingine ni complete manufacture?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hii ndio maana nasema you need to understand stuff,copy pasting is not enough. Sasa ona unauliza swali la kipuzi ju you don't understand the whole thing. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Bila kulewa kitu kwa undani hata Google haiwezi kusaidia.
 
Ona hii jamaa anaanza kudanganya watu.
China haijawahi kuacha communism maisha yake yote hadi sasa.
Alichofanya huyo jamaa ni mabadiliko ya sera zilizopo kwenye communism.
China haikuwahi kuwa capitalist nation hata mwaka mmoja.
At this point, I'll letave you to wallow in your ignorance. ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
 
Nakumbuka akisema ati tunabebwa ufala na Ruto na hakuna Stadium inaezajengwa within 18 months๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Siku hizi acceptance inawaingia with a speed they didn't expect ๐Ÿ˜‚
Lakini imeingia faster than I expected especially to inveterate haters like game over ๐Ÿ˜‚
 
Hii ndio maana nasema you need to understand stuff,copy pasting is not enough. Sasa ona unauliza swali la kipuzi ju you don't understand the whole thing. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Bila kulewa kitu kwa undani hata Google haiwezi kusaidia.
Kwahiyo nyinyi mnafanya skd au mnapokea skd's kwa ajili ya kufanya assembling.
Nganya mnapokea skd then mnafanya assembling?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ