Haitwi collabo, collabo ni ya musicians, kwa car industry inaitwa joint venture. Toyota outsources most car parts from Denso and Aisin who also supply parts to other manufacturers such as Honda, Nissan, GM, Mitsubishi, Subaru etc. Mimi huwezi nifunza chochote kuhusu magari, the moment ulisema not all cars are assembled ndio nilijua we ni fala, your car knowledge is too shallow.Unadhihirisha ushamba wako.
Kuna magari kama Toyota supra na Toyota c-hr haya magari yameundwa na kama collabo naweza sema.
Kwasababu supra inatumia engine za BMW Z-4,na Toyota pamoja na BMW wana association kwenye hilo,ndio maana supra inaitwa mtoto wa BMW kwasababu inatumia engine ya Bmw Z4.
Ila magari mama yanayoundwa na Toyota pasi na association yeyote Ile mathalan Hilux, Camry,harrier kuanzia from scratch Kila kitu kinaundiwa pale.
Nenda kajifunze kuhusu magari ndio urudi hapa.
Hamna uwezo wa kujaza uwanja bna nyiny kenge😂
Huyo ni trillionaire huko bongoslum. 🤣 🤣How much is 400,000,000 kwa pesa za madafu!?
View attachment 3431438
Ona huyu mbuzi anavyoshangaza!Haitwi collabo, collabo ni ya musicians, kwa car industry inaitwa joint venture. Toyota mostly outsources most car parts from Denso and Aisin who also supply parts to other manufacturers such as Honda, Nissan, GM, Mitsubishi, Subaru etc. Mimi huwezi nifunza chochote kuhusu magari, the moment ulisema not all cars are assembled ndio nilijua we ni fala, your car knowledge is too shallow.
Huwezi niambia kitu, si ulisema not all cars are assembled. 🤣 🤣 🤣Ona huyu mbuzi anavyoshangaza!
Nenda kajifunze kuhusu car assembly and car manufacturing.
Toyota na hizo kampuni zingine huwa zinaunda kila kitu from scratch ila kama gari ikiwa ni ya kuchangia ndio Kuna kuagiza vifaa.
Na mind you kiini Cha gari ni engine na chassis. Ukishaunda hivyo tayari umeshaunda gari.
Sasa wewe unakuja kutueleza nini hapa!?
Nenda kapeleke ujinga wako Kibera.
Show us the plate numbers of those trucks.You wish. 🤣 🤣
Chinese aid .Daily Dose
Nyang'au kipchirchir arap Teargass tumbo joto akiona hivi😂Kunyans, do you see your mates , uganda?
This is what Moroccans gonna do to hara mbee starters.
Una act kama vile hauishi kibera! wenzako wamepakiwa kwenye malori wewe hapa unajifanya hujui chochote.
Inawezekana kabisa ila vyama upinzani lazima vijijenge, visiwe vyama vya mtu mmoja. Ona CUF, alipokufa Maalim na Lipumba kuzeeka, ni kama chama hakipo.😂😂😂Inamaana mkuu hauamini mikono mingine nje ya CCM?
Shukran.Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.
Ni sera nzuri tu na jengefu.
Siyo sawa znz wamezidi kubebwa, mfano hii ya makamu lazima awe Mzanzibar, haikiwepo kipindi cha Mwinyi kirudi nyuma.Kuhusu umiliki wa ardhi sijajua kama hiyo ilikua ni ya zamani sana shukran umenifahamisha.
Ila hivi wewe unaona ni sawa mpemba aishi Bara pasi na vikwazo ila Mbara akienda visiwani awekewe vikwazo hasa hilo la ardhi!?
Utajuaje yet you all live in shacks?We jamaa hivi vinini unapost 😆😆
Bet yako ya Kenya to lose all CHAN game kunaendeleaje?Jana wamebahatisha kwa wacongoman na Mpira mbovu, wanahisi watafika pahala