Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii tournament haina international players, mbona utumie ranking which includes them?
Ni timu ya taifa au siyo timu ya taifa!?
Hata kama hakuna international players ila ni timu ya taifa.
Unadhani hata wangekua na international players Kenya mngetoka?
Nani wa kumkaba Mayele au Maxi Nzengeli hapo Kenya?
 
Marocco anaongoza huko.
Tunataka aongeze la pili ili Kenya ishuke hapo juu.
Tunataka juu wakae wanaojua tu.
 
Good attendance at Nyayo Stadium.

20250803_184140.jpg
 
Najua ukikosa hoja unakimbilia personal attacks.
Natumai somo limekuingia Kenya hamuna timu mmebahatisha.
Wacha maneno weka facts.
Below are undisputed facts.

1. Kenyans filled Kasarani, Tanzanians weren't able to fill Makwapa.
2. Kenyans played beautiful football than you witches.
3. You are driven by anger and jealousy.
 
Tatizo la hawa mbuzi wanajiona kama wako level fulani ya juu kumbe ni wale wale wa dunia ya tatu. Dunia ya tatu hatuchekani matatizo yetu ni yale yale. Eti unacheka Tz kutojaza uwanja wa 60k kwamba raia wao masikini.
Hii ni zaidj ya umaskini. Ni utamaduni wa watu. Sisi sio kama Waingereza au Wajerumani qmbao soka ni zaidi ya dini kwao. At least Simba na Yanga kidogo tunaweza kujaza 60k stadium.
Ndio maana hata humu tulisema kujenga uwanja capacity zaidi ya 30k nje ya Dar ni kupoteza hela.
Tatizo la Tanzania kutojaza uwanjalinatokana za timu ya taifa kutofanya vizuri due to ujinga wa TFF na makocha wao vilaza.
 
Kenya has more international players than bongoslum.
Hahaa
Summary Table — Non-Tanzanian Players in Mainland Premier League (2025)

Player Name Nationality Club (2025)

1. Zouzou Landary Ivory Coast Azam FC
2.Zidane Sereri Madagascar Azam FC
3. Jonathan Ikangalombo DR Congo Young Africans SC
4. Israel Mwenda DR Congo Young Africans SC
5. Khalid Aucho Uganda Young Africans SC
6. Jean Baleke DR Congo Simba SC
7. Eli Mpanzu DR Congo Simba SC
8. Moses Phiri Zambia Simba SC
9. Meddie Kagere* Rwanda (ex‑Uganda) Namungo FC (formerly Simba)
10. Jean Amonome Gabon Tabora United
11. Cedric Zemba Cameroon Tabora United
12. Amara Bagayoko Mali Coastal Union
13. Serge Pokou Ivory Coast Singida Black Stars
14. Emmanuel Kayekeh Ghana (nat. pending) Singida Black Stars
15. Mohamed Damaro Camara Guinea (nat. pending) Singida Black Stars
16. Arthur Bada Ivory Coast (nat. pending) Singida Black Stars
17. Jonathan Sowah Ghana Singida Black Stars
18. Amas Obasogie Nigeria Singida Black Stars
19. Morrice Chukwu Nigeria Singida Black Stars
20.Hernest Malonga DR Congo Singida Black Stars



Hiii kwa uchache

VERSUS
Foreign Players by Kenyan Club (2025 Season)

Gor Mahia

1. Charles Bbaale (Ugandan international) — signed from Rayon Sports (Rwanda)

2.Giscard Mavoungou (Congolese international) — signed from AS Otoho (Congo)

3.Patrick Essombe (Cameroonian international) — signed from Union Sportive de Douala (Cameroon)

4. Chris Pius Akena (Ugandan international) — attacking midfielder/right winger, joined Gor Mahia mid‑2024


Tusker FC

5.Dennis Iguma (Ugandan international) — bolstered Tusker’s defense


Kenya Police FC

6.David Irishura (Burundian international) — acquired from Messager Ngozi FC (Burundi)

7.Timothy Oyanda (English-based) — signed from AFC W
ulfrunians (England)


Hata nusu ya wachezaji watanzania hamjafika , bila kujumlisha usajiri mpya wa hivi karibuni🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom