Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,952
Wanadhani ranking ndio inacheza mpira😂😂Hio DR Congo tumepiga ni ya ngapi? Mbona huandiki hio? 🤣 🤣
Wanadhani ranking ndio inacheza mpira😂😂Hio DR Congo tumepiga ni ya ngapi? Mbona huandiki hio? 🤣 🤣
Punguza hasira wewe nyang’au😂Mnakuanga mafala Sana…
Endelea kulia wewe chokoraa 😂😂🤣Unaogopa kuzoom picha yako View attachment 3429772
Wamezoea vya bure😂😂Mmejaza ya bure lakini ya tickets hamwezi 🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ndio mpunguze hasira, you expected Kenya to lose and not fill the Stadium lakini zote mmejipiga own goal😂😂Punguza hasira wewe nyang’au😂
Ushindi wenu wa First time CHAN.Nyinyi ndio mpunguze hasira, you expected Kenya to lose and not fill the Stadium lakini zote mmejipiga own goal😂😂
Ushindi wenu wa First time CHAN.
Sikililiza Wimbo wa Teargas kutoa Govi
View: https://audiomack.com/tan255nzania/song/teargas-kata-govi
Are you also suffering?😂😂👇👇Punguza hasira wewe nyang’au😂
🤣🤣😂Tusubiri tuone ila Kenya haitoboi.
Zambia 83 kwa rank,Morocco ya 12 na Angola ya 85.
CAF amewaonea sana Kenya.
Tanzania kapewa vilema watupu kasoro Burkina Faso tu.
CAR, Mauritania na Madagascar hamuna kazi mule twajipigia tu.
Kiufupi Taifa stars ishaongoza kundi na haishuki hapo juu.
Where are you suffering from?😂😂🤣🤣Umekata Govi?
That’s some beautiful so green grass …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uwanja haupo "full house" na unaonekana kabisa haupo "full house" ila wanalazimisha umejaa kwa kuweka picha za upande upande.Unaogopa kuzoom picha yako View attachment 3429772
Kwetu Tanzania kama haujajaa huwa wala hatufichi tunapiga picha ya drone uwanja wote.Uwanja haupo "full house" na unaonekana kabisa haupo "full house" ila wanalazimisha umejaa kwa kuweka picha za upande upande.
Nini maana ya sold out! 😂😂😂
mwaiofhawaii aka Mwai of Kibera, vipi tuendelee kuongelea football au tuongelee issues za Kukata magovi ya wakenya?That’s some beautiful so green grass …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is a Ugandan. Imagine ticket ya 50 bob wanashindwa kulipa😂😂
View: https://x.com/SandrahNassali/status/1951725844218442210?t=JhZjsn1Y--3louJNx5teuw&s=19