Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tizama hapo TZ vs Burkina Faso ball possession 60-40.
Goal attempts total kwa TZ ni 16 Burkina Faso 8.

Kenya vs Drc possession 52-48.
Goal attempts total Kenya 5 kwa DRC 14.
Hapo ndio utaona utofauti wetu na wenu.
Yani Kenya mmebahatisha kama DRC angekua na utulivu golini kwa hizi goal attempts mngechapika bao nyingi tu.
Na hapo DRC ya 61 na Burkina Faso ya 65 utofauti ni nafasi 4 tu.
View attachment 3429810View attachment 3429811
Anajua wapi mambo ya mpira! 😂😂😂
 
If you were not ignorant you would know circumcision is more prevelant in Kenya than Tanzania. Your largest Tribe, Sukima, don't practice it and you are here everyday talking about Govi like a gay man.
Stupid fool,there is no such a thing.
I am from Sukuma tribe and in Sukuma tribe is must for a man to be Circumcised.
Enda udanganye wapuuzi wenzako.
Unadanganya ilhali wasukuma tupo humu ndani!?
Hujui kama usukumani Kuna sherehe za jando za kutairi mwanaume!?
Mbugila tope wewe.
 
Wanadhani ranking ndio inacheza mpira😂😂
Rank Ina determine ubora wa timu wewe mpumbavu.
Ukitaka kulijua hilo tizama statistics za mechi ndio uone.
DRC wamefika golini kwenu mara 14 ninyi mmefika golini kwao mara 5 tu.
Yale yale ya Saudi Arabia kumfunga Argentina wakadhani wanamuweza ilhali goal attempts walizidiwa kilichokosanika ni umakini tu kwa Argentina.
 
hii nchi ililaaniwa aisee😂😂😂
IMG_7567.jpeg
 
Rank Ina determine ubora wa timu wewe mpumbavu.
Ukitaka kulijua hilo tizama statistics za mechi ndio uone.
DRC wamefika golini kwenu mara 14 ninyi mmefika golini kwao mara 5 tu.
Yale yale ya Saudi Arabia kumfunga Argentina wakadhani wanamuweza ilhali goal attempts walizidiwa kilichokosanika ni umakini tu kwa Argentina.
Usiwe mjinga oyaaaa kwani hio rank ya FIFA hua ya local based players pekee?
 
Tizama hapo TZ vs Burkina Faso ball possession 60-40.
Goal attempts total kwa TZ ni 16 Burkina Faso 8.

Kenya vs Drc possession 52-48.
Goal attempts total Kenya 5 kwa DRC 14.
Hapo ndio utaona utofauti wetu na wenu.
Yani Kenya mmebahatisha kama DRC angekua na utulivu golini kwa hizi goal attempts mngechapika bao nyingi tu.
Na hapo DRC ya 61 na Burkina Faso ya 65 utofauti ni nafasi 4 tu.
View attachment 3429810View attachment 3429811
Hizi Story za Abunwasi peleka mbali.
 
Back
Top Bottom