The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Yaani hata dakika kumi hazijafika tayari wamelimwa goli, washukuru VAR. πππRefa kawabeba π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kila mtu duniani anajua 2027 ni mwaka wa kukatana mapanga wakenya.Hatuwezi host ju ya vifagio? π€£. Watanzania kwa domo domo
Na hata kujaza imeshindikana. πππBut this pitch is so poor, renovation Gani ilifanyika hapa
Hii ndio hasara ya kukaa Kibera mpaka unazeeka. Ushamba lazima uwe mkubwa kizidi kipimo cha kimataifaKenya's car scene. π₯π₯
View: https://www.instagram.com/reel/DM42aTNirMn/?igsh=MW5ja3lnYjZ1NmhvOA==
Yani wanacheza hovyo kinoma, kama amateurs π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yaani hata dakika kumi hazijafika tayari wamelimwa goli, washukuru VAR. πππ
Kisirani inaenda kutia aibu leo,hivi hata pitch-side advertising ni LED au ndio jua kali style wanazungushia mabati πGuys hebu angalieni ndani ya vyumba vya uwanja wa Kasarani ni vituko
View: https://youtu.be/JVJArStyBVk?si=C8EzTJqt9eKg1Qwv
Ngapi ngapi hukoooo!?Duuh ni uwanja mbona maajabuπ€£π€£π€£π€£
45k capacity hawawezi kujaza pamoja na serikali kununua tickets zote na kugawa bure πππNa hata kujaza imeshindikana. πππ
View attachment 3429591
Pitch mbovu. πππYani wanacheza hovyo kinoma, kama amateurs π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bob vipi mbona huleti Kenya vs Congo?Sijawai ona hii Defender 130 huko bongoslum. π€£π€£
View: https://www.instagram.com/reel/DMzjz1ioxIy/?igsh=NXdtNjBueG9iOGE2
Hii ndio hasara ya kukaa Kibera mpaka unazeeka. Ushamba lazima uwe mkubwa kizidi kipimo cha kimataifa
View: https://audiomack.com/tan255nzania/song/nairobae-toka-kibera
Wamebebwa ilitakiwa wawe washapigwa moja var imewabeba, ila aibu kiwanja kina matope kama yoteNgapi ngapi hukoooo!?