Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tembo mweupe wa Nairobi, Kisirani sorry Kasarani pekee haijai, then wanaongeza liability Nairobi, mchina mjanja anakwenda anaongeza bonds kwa gavoo ya Kenya, kija kustuka nchi yote iko mnadani😁😁
 
Hapo mtaleta excuses ila tunajua ni pesa ndio mmekosa. Mliplan kujenga stadium ya watu 60000 sasa imeishia kuwa ya 48000. Your leaders will always remind you how poor your country is
Jibu swali, how is reducing the capacity of a stadium got anything to do with utajiri? No offense but ulifika darasa gani shuleni?
 
It's baffling how Kenyans allow such criminal behavior to occur against their children without raising any alarm. In the animal kingdom, all mammals instinctively protect their young, keeping strangers at a distance to ensure their safety. This is one of those things you rightly should take it the street..
cc NairobiWalker Teargass mwaiofhawaii BlietzKrieg@mwathadan
 
Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣
Danganya wenye hawajawai fika Bongo. Nyumba mpya za tofali hapo bongo vyoo viko nje alafu utuambia nyumba ya tope ina choo ndani?🤣 🤣
View attachment 3427321
Kheri hiyo Ina choo nje.
Je Kibera mna vyoo hata vya nje?
Kibera si mnakunya kwenye mifuko?
Achana na kibera nilileta video humu wakenya wanaishi katikatika ya penyo za daraja na wanajisaidia humo humo.
Kenya mna umasikini wa kuogopesha sana.
Imagine mtu analala katikati ya penyo za daraja doooh!
 
We are building stadiums all over kenya I don't know what you're on about
 
Show me a Tanzanian fabricator who has made a bus like this. Muache uongo saa zingine.

Yaani you just make some ugly thing from a truck chassis, unafunga some old engine 340hp with high milage 3m km and put a man logo kwa mbele Kisha unaita man. Wakunya mna tabu sana, no wonder wonder the whole country is crying over Tanzania Jobs
 
Hao kwa mzungu hawana neno, ndio mabwana zao.

Tuje tena na kila mkenya anatakiwa kupimwa mpakani full body.

Mara Mapunye, mara Jiggers, mara Mpox now mavaccine.

Wazee wa Lockdown ya Mchana
 
Meaning we have more talent than you.
Mambo mengine kubali yaishe, wachezaji wa kikenya kwa ss England yao kwenye football ni Tz mana kuna pesa ya kutosha, na ligi ina mvuto. Ni kama unavyoona wachezaji wote duniani ndoto yao ni kucheza ulaya, wachezaji wenu wanaona ni heri waje bongo wacheze timu ndogo ndogo kuliko kubaki Kenya kuchezea Gor Mahia, juzi tu hapa mchezaji wenu kipenzi wa timu ya taifa kakimbia kambi baada ya kusikia anatakiwa na Simba, na hajarudi mpk kesho. Kwenye football kwa level zote kuanzia club level mpk national team hakuna mjadala.
 
Halafu timu zenyewe sasa Dodoma city
 
Wewe ni comedian:.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…