Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru ameingilia wapi kwa mambo ya ndege yenu iliyopo Canada?
Kwasababu mimi nimejenga hoja kuizungumzia Kenya, nilitegemea wewe jibu lako lingelenga kujibu hiyo hoja, sio kufungua mjadala mwengine kabla hiyo hoja haijafungwa
 
atakwambia prims tower wakat hata 30 halijafika😀
Ata prism ni 30
Hawa jamaa ni kupika data2
Hasahasa kwenye urefu
Wanaandika2 ilimradi huwez kufika na kuthibitisha
Afu eti wanasema kitower nilichokuwa nakijua tangu zaman leo kawe 38 ghaflaghafla from 30[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Af eti kwa akili ya kawaida TPA ambalo ni 40 lizidiwe na UAP ambalo ni 33 kweli????
Uku ukiwa Nairobi UAP haina tofaut na millenium tower
 
mkenya ni mtu mjinga sana kwenye kupenda sifa ilimradi aonekane yuko juu lakini kiuhalisia sio kweli
 
IMG_2982.jpg

IMG_2980.jpg

IMG_2977.jpg

dar es salaam
 
vyuma vimekaza sana kenya....dada yake kolo kaona bora adanganye ulimwengu kuwa kazaa na diamond ili aondokane na ugumu wa maisha huko kwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
d4a88f43e7048d833cac95eb24c61998.jpg
417de4b5e640105a39bb3cfb82a764bf.jpg

BTW in kenya diamond platnumz is more famous than uhuru,ruto and mike sonko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IMG_2982.jpg

IMG_2980.jpg

IMG_2977.jpg

dar es salaam
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
ni over 20+ flrs ndio ilikua ishu au ni minara??
Britam iko na 33flrs, nilijua mwenzako hatamaliza battle bila vurugu, nikamwambia ni 21flrs.
Thread ya battle over 20+ flrs alikimbia kama anadaiwa 7 towers hajawai rudi
Hivi unajua kuorodhesha unaweza orodhesha tu,na mlivyo na hulka ya uongo hatuwezi wakubalia kirahisi.

Tumeomba picha za majengo na majina yake au huna??
 
Kulen mchicha muangalie kwa mbali
Apo ni from manzese darajan(9km from citycentre)
Mzizima tower ishafikia 35flr na wenda zikaendelea kupanda ni kama MNF 32flr badala ya 30
Au ppf zaid ya 40 uku mkidhan 35
Kumbukeni2 apo nyie mna 33flr kamoja
Nyingine ni under[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
a093bfccc8b5e2cb0974716e6d09e9b4.jpg
b6c9ebaf7735e09eb8a69d8beacc4b13.jpg
Mzizima washapita floor ya 35 , nilienda kuhesabu
 
the truth is,there is nothing good young kenyans can gain from their education system apart from speaking english...kenyan education is very poor.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
665ee1599c4418ce474b7058eab223e8.jpg
d1e7faacdac3a555cc7fd6706ea3cd14.jpg
 
vyuma vimekaza sana kenya....dada yake kolo kaona bora adanganye ulimwengu kuwa kazaa na diamond ili aondokane na ugumu wa maisha huko kwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
d4a88f43e7048d833cac95eb24c61998.jpg
417de4b5e640105a39bb3cfb82a764bf.jpg

BTW in kenya diamond platnumz is more famous than uhuru,ruto and mike sonko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha is famous more than trump
25018612_1495360970562162_943005390331707392_n.jpg.jpg
 
Back
Top Bottom